Barahambarayee
Member
- Dec 14, 2014
- 13
- 6
Ili uwatoze ada ya elfu 15 kwa kila kichwa eee alafu ukishatumiwa uanze ujinga wako wa kususa ili ubembelezwe wakati hueleweki mtu mwnyw, ENDELEA KUWATAPELI HAO WENGINE SISI BASI.
Kama umeshajitoa kwenye mafunzo hukustahili kuyasema hayo, ni wapi alishawahi kutoza ada?
Halafu unadai "SISI BASI", Wewe na nani?
Kitu kama huna interest nacho kiache kilivyo usilazimishe utawehuka.
Nenda siasani, hizi mambo popoma kama wewe huwezi archieve hata nukta.
Kumradhi Wadau kwa niliyomjib huyu kilaza kama nimewakera