Mkuu
Rakims hivi kwenye Astra projection inapatikana hii power inayoitwa "TELEKINESIS" au yenyewe humo haimo ipo tu kwa ma meditators peke yao?
Katika powers zote hii kwangu mimi is the best,,.
[emoji848]Yaani mtu unasogeza na kuamuru vitu kwa nguvu ya mawazo! Chochote unachotaka kiwe kinakuwa.
Mfano ukitazama film zinazoitwa Lucy, X-Men, Merlin, Doctor Strange, Push na The Gifted wameielezea nguvu hii kupitia sanaa.
Hii inafanana na zile stori za watu wa zamani kwamba walikuwa wakiunyooshea kidole mti unakauka. Akina Mwanamalundi n.k