Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Mkuu Rakims Mimi nimejaribu kulala chali nikiwa nimeweka air phone masikioni nikiwa kwenye utulivu nasikiliza benaural beats nilianza kuhisi vibrations kwenye miguu ikupanda juu, nikaanza kuhisi naanza kuelea juu Nikajikurupua nikijua nimetaka kuingia kwenye Astra Projection, nawakati lengo langu ni kuzifungua chakras then nifungue third eye, nilikosea kujikurupua au nilikuwa sahihi? Ni dalili njema au mbaya?
Na je, Chakra zinaweza kufunguka huku umelala chali tofauti na kukaa?
Chakras ni nini ? Tufundishe njisi ya kufungua chakras. Rakims
 
Mkuu Rakims naomba ufafanuzi kwenye hili. Kwanini ma-buddha wengi wananyoa vipara, kutembea peku na kuvaa mashuka ya njano wakati wana-meditate, kuna hekima gani kwenye jambo hilo ikiwa wao ndio waanzilishi wa haya mambo ya meditation? Ni nini kinahusika hapo?
Msaada mkuu
ikinipendeza na mimi nianze
View attachment 1646901View attachment 1646903
Kukata nywele zako hutumika kama ishara ya kukataa tabia ya mambo ya kidunia kwenda na wakati na mitindo ni kama asili ya nidhamu kwao kama ilivyo kukata kucha au nywele shule na pia kwao ni ishara ya kuachana au kutengana na tamaa au kuonyesha ishara ya utofauti na watu wengine hakuna sababu yoyote ya kuwafanya wafanye hivyo. kuhusu wao kuvaa mashuka ya njano sio ya njano tu hata orange pia huvaa na wengine nyeupe hizi ni rangi ambazo katika mazingira yao ilikuwa ni rahisi kupatikana hivyo zikafanywa kama rangi za sare za kuwatofautisha wao na watu wa nyumbani.

Rakims
 
Asante mkuu nimeridhika
 
Samahani tena mkuu Rakims naomba kujua juu ya hili, nimepitia youtube nikakutana na clips inaitwa "Uelewe ulimwengu wa roho ili ufanikiwe katika ulimwengu wa mwili" ambayo ilirushwa na kipindi mojawapo kinaitwa Chomoza kwenye Clouds tv. Yule mwalimu aliyekuwa anafundisha alisema kwamba "Ulimwengu wa roho unaongozwa kwa matamko" eti matamko Yana Nguvu Sana katika huo ulimwengu wa roho juu ya jambo lolote ulilolikusudia. Ukiingia rohoni tu na ukatamka, basi huku kwenye ulimwengu wa mwili automatic lina Manifest. Je, ni kweli?
 
Naic nilishawah fika katika hali ya Meditation state pasipo kujua.. Zile Doti of light unazizungumzia ambazo uki concentrate unaona ndan yake kuna events zilizowah kuzifanya kwenye Life pia nilisikia kama Sauti zinaniita kwa mara ya kwanza niliogopa sana hii state
 
Mkuu Rakims Hivi na wanao meditate kwa kutumia sauti (benaural beat) huwa wanaisikia hiyo sauti yao ya ndani (voice within)? au kwa kutumia beat huwezi kuisikia hata Kama utafanya kwa juhudi zote?
 
Samahani tena mkuu Rakims naomba kujua juu ya hili, nimepitia youtube nikakutana na clips inaitwa "Uelewe ulimwengu wa roho ili ufanikiwe katika ulimwengu wa mwili" ambayo ilirushwa na kipindi mojawapo kinaitwa Chomoza kwenye Clouds tv. Yule mwalimu aliyekuwa anafundisha alisema kwamba "Ulimwengu wa roho unaongozwa kwa matamko" eti matamko Yana Nguvu Sana katika huo ulimwengu wa roho juu ya jambo lolote ulilolikusudia. Ukiingia rohoni tu na ukatamka, basi huku kwenye ulimwengu wa mwili automatic lina Manifest. Je, ni kweli?
I'm sure katika aliyoyasema ni mengi na alivyoelezea alikuwa anapoint tofauti,

Nb:
Sio kila anaejua kuongea anajua vema anachokiongea.
Watu wanasimplify haya mambo kwa akili za kufikirika sio akili za kutenda na experience

Rakims
 
Mkuu Rakims Hivi na wanao meditate kwa kutumia sauti (benaural beat) huwa wanaisikia hiyo sauti yao ya ndani (voice within)? au kwa kutumia beat huwezi kuisikia hata Kama utafanya kwa juhudi zote?
Kumeditate kwa beat ni kutrick na kuuaminisha ubongo kitu ambacho haujataka kureveal kwako uweze kureveal sasa pindi inapotokea huwezi kujua kama umefika kwenye state ya meditation au you are having delusional
 
Mkuu Rakims naomba tena kuuliza na kufahamu zaidi juu ya hili. Mimi ni mwanafunzi wako wa somo hili pendwa la meditation kwa muda mrefu sana japo bado sijafanikiwa kufungua "Third eye", na nina nia ya dhati kabisa, kila siku nafanya meditation kwa juhudi zote nikitumai ipo siku nitafanikiwa kulifungua. Sasa tatizo nyumba niliyopanga kuna kijana mwenzangu yeye ni mlokole kila siku usiku kuanzia saa 8 ananiona nikifanya meditation sebuleni. Jana amenifata na kuniambia kuwa huo mchezo ninaoufanya ninakaribisha nguvu za giza, na isitoshe Freemason na Illuminati watanitrack na kuni-mark (cheep)(niwe naongozwa kwa special order) ntashindwa kujicontrol kwa fikra zangu mwenyewe na ntakosa pakuchomokea. Na amenisisitiza kuwa niuache upuuzi huo isipokuwa najitafutia matatizo bure. Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu hili. Je, ni kweli mtu akifungua Jicho la tatu Freemason wanamtrack anakua miongoni mwao na anashindwa kujinasua? Amenitia hofu kidogo mwanafunzi wako, naomba ufafanuzi wako mwalimu.

Je, Kuna uhusiano wowote Kati ya Freemason/ Illuminati na Jicho la tatu?

Swali lingine. Mtu aliyefungua "Third eye" anao uwezo wa kujifunza lugha yoyote kwa muda mfupi bila mwalimu?
 
Uzi mtamu sana huu. Napenda kuuliza swali hili linalonitatiza kidogo. Je endapo nikafika ile state ya kufungua 3rd eye then nikadeep kwenda stages za mbele tayari ufahamu wangu utakuwa umetoka kwenye ulimwengu wa kawaida na kuingia ulimwengu wa roho nitapataje sense ya kutaka kurudi au kugonga kwa kidole wakati tunakuwa tayari mwili umepigwa ganzi nawezaje kugonganisha vidole?
 
Mkuu Rakims naomba tena kuuliza na kufahamu zaidi juu ya hili. Mimi ni mwanafunzi wako wa somo hili pendwa la meditation kwa muda mrefu sana japo bado sijafanikiwa kufungua "Third eye", na nina nia ya dhati kabisa, kila siku nafanya meditation kwa juhudi zote nikitumai ipo siku nitafanikiwa kulifungua. Sasa tatizo nyumba niliyopanga kuna kijana mwenzangu yeye ni mlokole kila siku usiku kuanzia saa 8 ananiona nikifanya meditation sebuleni. Jana amenifata na kuniambia kuwa huo mchezo ninaoufanya ninakaribisha nguvu za giza, na isitoshe Freemason na Illuminati watanitrack na kuni-mark (cheep)(niwe naongozwa kwa special order) ntashindwa kujicontrol kwa fikra zangu mwenyewe na ntakosa pakuchomokea. Na amenisisitiza kuwa niuache upuuzi huo isipokuwa najitafutia matatizo bure. Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu hili. Je, ni kweli mtu akifungua Jicho la tatu Freemason wanamtrack anakua miongoni mwao na anashindwa kujinasua? Amenitia hofu kidogo mwanafunzi wako, naomba ufafanuzi wako mwalimu.

Je, Kuna uhusiano wowote Kati ya Freemason/ Illuminati na Jicho la tatu?

Swali lingine. Mtu aliyefungua "Third eye" anao uwezo wa kujifunza lugha yoyote kwa muda mfupi bila mwalimu?
Third Eye haifunguliwi kwa juhudi yako bali ufunguliwa na mabingwa funguzi au Initiation Adepts. Ni tricks ambazo inabidi uonyeshwe otherwise inakuwa imaginationa.
 
Samahani tena mkuu Rakims naomba kujua juu ya hili, nimepitia youtube nikakutana na clips inaitwa "Uelewe ulimwengu wa roho ili ufanikiwe katika ulimwengu wa mwili" ambayo ilirushwa na kipindi mojawapo kinaitwa Chomoza kwenye Clouds tv. Yule mwalimu aliyekuwa anafundisha alisema kwamba "Ulimwengu wa roho unaongozwa kwa matamko" eti matamko Yana Nguvu Sana katika huo ulimwengu wa roho juu ya jambo lolote ulilolikusudia. Ukiingia rohoni tu na ukatamka, basi huku kwenye ulimwengu wa mwili automatic lina Manifest. Je, ni kweli?
Huwezi kuwa Rohoni then Uwaze, Rohoni ni state of conciousness which exist beyond the mind, beyond thoughts or object.
 
Mkuu Rakims naomba ufafanuzi kwenye hili. Kwanini ma-buddha wengi wananyoa vipara, kutembea peku na kuvaa mashuka ya njano wakati wana-meditate, kuna hekima gani kwenye jambo hilo ikiwa wao ndio waanzilishi wa haya mambo ya meditation? Ni nini kinahusika hapo?
Msaada mkuu
ikinipendeza na mimi nianze
View attachment 1646901View attachment 1646903
Renunciotion, is an act of declaration. Kutataa matamanio ya kimwili, maisha ya raha na matendo ya kimwili. Sio tuu kunyoa, bali chakula, na pia hawafanyi ngono pia.
 
Mkuu Rakims hivi kwenye Astra projection inapatikana hii power inayoitwa "TELEKINESIS" au yenyewe humo haimo ipo tu kwa ma meditators peke yao?
Katika powers zote hii kwangu mimi is the best,,.
[emoji848]Yaani mtu unasogeza na kuamuru vitu kwa nguvu ya mawazo! Chochote unachotaka kiwe kinakuwa.
Mfano ukitazama film zinazoitwa Lucy, X-Men, Merlin, Doctor Strange, Push na The Gifted wameielezea nguvu hii kupitia sanaa.
Hii inafanana na zile stori za watu wa zamani kwamba walikuwa wakiunyooshea kidole mti unakauka. Akina Mwanamalundi n.k
[emoji2960]hakunaga uhusiano kati ya power acquiring na Astra projection or meditation. Unaweza fanya meditation mwamzo mwisho na usiweze fanya astra projection na wala kuwa na power hata moja. Unashauriwa kutokutafuta power ili uwe na successful meditation, kwani power inajenga Ego which is bad for self and God realization. Power ni kipaji, with high concetration and body calmness inaamsha power, ni rahisi kwa meditator kuamsha power than anybody but not all can.
 
Mkuu Rakims Mimi nimejaribu kulala chali nikiwa nimeweka air phone masikioni nikiwa kwenye utulivu nasikiliza benaural beats nilianza kuhisi vibrations kwenye miguu ikupanda juu, nikaanza kuhisi naanza kuelea juu Nikajikurupua nikijua nimetaka kuingia kwenye Astra Projection, nawakati lengo langu ni kuzifungua chakras then nifungue third eye, nilikosea kujikurupua au nilikuwa sahihi? Ni dalili njema au mbaya?
Na je, Chakra zinaweza kufunguka huku umelala chali tofauti na kukaa?
Yaani[emoji1]
 
Third Eye haifunguliwi kwa juhudi yako bali ufunguliwa na mabingwa funguzi au Initiation Adepts. Ni tricks ambazo inabidi uonyeshwe otherwise inakuwa imaginationa.
Asante Sana Mkuu[emoji120]. Je, Mimi huwa nikitumia benaural beats, huwa inanisaidia Sana akili yangu kuweza kutulia kwenye hiyo sauti, na baadae naanza kuhisi ki-vibration kikianzia mgongoni kinapita hadi kwenye moyo kinapanda juu, naogopa nastop. Je, huwa nakaribia kufungua, au nakuwa bado nipo kwenye imagination?
Naomba unisaidie na mimi tricks mkuu.
 
[emoji2960]hakunaga uhusiano kati ya power acquiring na Astra projection or meditation. Unaweza fanya meditation mwamzo mwisho na usiweze fanya astra projection na wala kuwa na power hata moja. Unashauriwa kutokutafuta power ili uwe na successful meditation, kwani power inajenga Ego which is bad for self and God realization. Power ni kipaji, with high concetration and body calmness inaamsha power, ni rahisi kwa meditator kuamsha power than anybody but not all can.
Sawa mkuu, msafiri.razaro nasikia mtu aliyefunguliwa Third eye nirahisi Sana kwake kuwagundua wachawi, na wachawi wakijuwa umewaona na wewe Sio mwenzao lazima wakuroge au wakuuwe. Je, kwà meditator aliyefungua hilo Jicho akawaumbua siri zao wachawi wanaweza kumroga au kumuua?
 
Back
Top Bottom