Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Mim jana usiku nimemuona huyu nilikuwa macho tu nikashangaa kama tochi zinanipiga usoni mara nikaanza kuona rangi ya njano,blue,zambarau kisha nikaona mtu akageuka kunitazama alikuwa amekaa Na ni muhindi mwanamke anafanana Na huyu hapa nimeshangaa sana haijawah nitokea
Akapotea zikaja rangi mara nyeupe basi mvurugano na nilikuwa nimelala kifudifudi nimeangalia ukutani
Nlikuwa nakwapua macho lakin naendelea kuona rangi
Nielewesheni

View attachment 2043753
Hapo ni ubongo wako ulikuwa unakutuliza kwa kukuletea vivid vision wewe ukaunganisha hiyo picha kwa mawazo ndio maana nilitoa maelekezo kwamba usifanye concentration
 
Kwa walioshindwa kufanya meditation zipo njia rahisi sana nilizojifunza kupitia kitabu hiki nilichonacho cha Meditation. Kama unataka unufaike na meditation na kuifanya kwa njia rahisi zaidi na baadaye kuona matokeo yake nicheki Pm nikutumie.
Mkuu kimwage hapa,tupite nacho. PM tutabanana sana.
 
Kwa walioshindwa kufanya meditation zipo njia rahisi sana nilizojifunza kupitia kitabu hiki nilichonacho cha Meditation. Kama unataka unufaike na meditation na kuifanya kwa njia rahisi zaidi na baadaye kuona matokeo yake nicheki Pm nikutumie.
Huu ujumbe umepost kwenye thread zangu nyingi mkuu kuna tatizo gani?

Rakims
 
Samahani mkuu nilikuwa najaribu tu kutoa muongozo.
Hamna neno lakini njia nzuri ni kuanzisha thread nyingine na kuweka wazi kuwa unauza kitabu na kina manufaa gani na njia zake ni zipi pia utapata views wengi na wengi watajadili na kukuongezea fikra na kuweza kutanua ueleweshaji wako wa kitabu chako na ujumbe wako utafika vema tu.

Rakims
 
Je Kuna uhusiano gani wa marastafari wanapovuta bangi na kumeditate, uvutaji wa bangi ni njia moja wapo?
 
Mim jana usiku nimemuona huyu nilikuwa macho tu nikashangaa kama tochi zinanipiga usoni mara nikaanza kuona rangi ya njano,blue,zambarau kisha nikaona mtu akageuka kunitazama alikuwa amekaa Na ni muhindi mwanamke anafanana Na huyu hapa nimeshangaa sana haijawah nitokea
Akapotea zikaja rangi mara nyeupe basi mvurugano na nilikuwa nimelala kifudifudi nimeangalia ukutani
Nlikuwa nakwapua macho lakin naendelea kuona rangi
Nielewesheni

View attachment 2043753
Mnaangalia sana tamthilia za kihindi hadi picha zinabaki kichwani.

Hizi mambo unaweza kutana na mabalss huko usingizini
 
Mkuu mimi kila nikianza kufanya meditation yaani nikifumba macho tu basi paji la uso linasnza kuvuta yani kama misuri inavutana vile..

Hii ni maana gani Rakims
 
Habari wadau. Katika njia za kufanya meditation (tunaambiwa tuseme concentration)Kuna mojawapo ya kutumia ukuta.
Yaani unatulia katika chumba chenye mwanga then unau-face ukuta kwa kuusogelea ukiwa umekaa kwenye kiti.(relaxing).
Unaanza kuutazama kwa kumakinika(concentrating)huku ukipumua taratibu.

Baada ya muda utaanza kuona body in vibrate kwa mbali,kijasho hivi then zinatokea rangi rangi..Kama zinakuja na kuondoka. Ukianza kuzifikiria tu zinapotea.

Nilifanya hivyo usiku wa kuamkia leo,kwenye ukuta mweupe ila Cha ajabu nilikuwa naziona rangi ya njano na zambarau,hasa hasa njano znakuja Kama rainbow vile,,,zinamove na kupotea then zinarudi tena....raha sana. Baadae nikawa sizioni(nafikiri baada ya kuanza kuzifikiria-zinavutia ujue Kama tv hivi).

Nililianza zoezi saa 9:55 za usiku,nikamaliza saa 5:12. Baada ya kumaliza nilijiskia fresh sana,,nasisitiza nilijiskia poa sana kimwili na kiakili. Japo sikwenda mbali zaidi.
Swali....nini changamoto za hii style ya kuangalia ukuta hasa hasa kwa beginners?
Nawasilisha
 
Endelea kufanya lakini pia jitahidi kuwa mtulivu maana huenda ikawa unalazimisha kupata vitu fulani fulani
 
Habari wadau. Katika njia za kufanya meditation (tunaambiwa tuseme concentration)Kuna mojawapo ya kutumia ukuta.
Yaani unatulia katika chumba chenye mwanga then unau-face ukuta kwa kuusogelea ukiwa umekaa kwenye kiti.(relaxing).
Unaanza kuutazama kwa kumakinika(concentrating)huku ukipumua taratibu.

Baada ya muda utaanza kuona body in vibrate kwa mbali,kijasho hivi then zinatokea rangi rangi..Kama zinakuja na kuondoka. Ukianza kuzifikiria tu zinapotea.

Nilifanya hivyo usiku wa kuamkia leo,kwenye ukuta mweupe ila Cha ajabu nilikuwa naziona rangi ya njano na zambarau,hasa hasa njano znakuja Kama rainbow vile,,,zinamove na kupotea then zinarudi tena....raha sana. Baadae nikawa sizioni(nafikiri baada ya kuanza kuzifikiria-zinavutia ujue Kama tv hivi).

Nililianza zoezi saa 9:55 za usiku,nikamaliza saa 5:12. Baada ya kumaliza nilijiskia fresh sana,,nasisitiza nilijiskia poa sana kimwili na kiakili. Japo sikwenda mbali zaidi.
Swali....nini changamoto za hii style ya kuangalia ukuta hasa hasa kwa beginners?
Nawasilisha
Unaweza kujiosha ubongo wako na kutoka hapo upo na akili mpya huenda ikawa ni akili nzuri au mbovu sio kila meditation unayoona mtandaoni au google ni ya kufuata.

Meditation is not an act,but the way we are..
 
Back
Top Bottom