Mwanzo wa mwisho wa nguvu na ushawishi wa siasa za Godbless Lema Arusha, ni wa fedheha sana badala ya heshima

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Tofauti zake kisiasa na viongozi wenzake ndani ya chadema Arusha na kanda ya kaskazini kwa ujumla, vimedhihirisha kuchokwa na kutohitajika kwake tena ndani ya chadema Arusha.

Anaharibu zaidi pale anapojaribu kuwainstall wafuasi, rafiki, jamaa na ndugu zake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa chadema mkoa wa Arusha, huku akimshutumu msimamizi wa uchaguzi huo Benson Kigaila, kwa kuwapa nafasi na kuwaruhusu marafiki zake kuibua fujo badala ya kuwadhibiti siku ya uchaguzi.

Hili limewakera sana wana Arusha.
Na watamuadabisha tangu sasa.

Hotuba yake kwenye uchaguzi mkoa wa Arusha,
imechafua hali ya hewa zaidi, kiasi kwamba miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema Arusha, hivi sasa wanaruka nae mbaya sana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kumjibu na kuelezea madudu yake yote alokua akiyafanya kuhujumu chadema, kama kiongozi wa chadema kanda ya kaskazini. Na amejikuta yuko pekeyake katika upweke wa fedheha sana kisiasa na kiuchumi. Hukuna tena wa kumtetea.

Muungwana anapitia nyakati za fedheha, halafu ndiyo hivyo tena hatakiwi uongozini chadema Arusha na kaskazini kwa ujumla, ambako alikua akijisitiri kwa kiasi fulani kiuchumi, hivi sasa hasikulizwi tena anapingwa na kudharauliwa pakubwa kila kona Arusha.

Kwa hali hiyo,
Huyo muungwana kwasasa anaweza kununuliwa na chama chochote cha siasa. Hana namna ingine ya kujisitiri. Approaching ya chama chochote kwa Lema itakua accepted kwa haraka sana. Lakini pia request ya Lema kujoin chama chochote itapokelewa tu kwani ndiyo uhuru na ustawi wa demokrasia nchini.

Ndugu mdau,
unadhani huyu muungwana atakipa kipaumbele chama gani cha siasa cha kumsitiri, kujificha na fedheha na walau aendelee kua relevant na mwenye heshima kwenye siasa za Arusha na Tanzania kwa ujumla?.πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Huyu aliendika atakuwa chama chetu cha CCM
Gentleman,
kwa hali hiyo anayoipitia Lema sasa, unadhani itakua gharama kununuliwa na chama chochote cha siasa nchini kwa sasa?

au RC wa Arusha amfanyie wepesi? πŸ’
 

View: https://www.instagram.com/reel/DChT-zQKH_C/?igsh=MWl0M2Zhc3Rsdmgzbg==
 
Gentleman,
kwa hali hiyo anayoipitia Lema sasa, unadhani itakua gharama kununuliwa na chama chochote cha siasa nchini kwa sasa?

au RC wa Arusha amfanyie wepesi? πŸ’
Mpaka leo unaamini kwenye kununua wanasiasa? Idiot. Hiyo vibrant opposition unayohubir kila siku utaipata chooni. Mpumbav kabisa! Unafikiri chadema ikibomoka ndo mgao wa umeme utaisha?
 
Mpaka leo unaamini kwenye kununua wanasiasa? Idiot. Hiyo vibrant opposition unayohubir kila siku utaipata chooni. Mpumbav kabisa! Unafikiri chadema ikibomoka ndo mgao wa umeme utaisha?
Gentleman,
Mimi naamini Mungu pekee sio huo ushirikina unaojaribu kunilisha ili kupotosha wadau..

Relax na uachane na mihemko na ghadhabu za kinyumbu kwenye mambo muhimu basi?
wewe na makasiriko mbona mmeng'ang'aniana sana aise?

Puppets wa nje na ndani ya nchi wanaivuruga Chadema. Na kwasababu Chadema haina maono wala malengo ya kisiasa tangu kuanzishwa ndiyo maana iko kama ilivyo, biashara ngumu saivi πŸ’
 
Ulienda shule kujifunza ujinga wewe. Nakuhakikishi nje ya chadema na ccm huna siasa nyingine unajua wewe. Hapo ndiyo mwisho wako
 
Ulienda shule kujifunza ujinga wewe. Nakuhakikishi nje ya chadema na ccm huna siasa nyingine unajua wewe. Hapo ndiyo mwisho wako
naona ulienda kujifunza mihemko, makasiriko na ghadhab tu huko shule🀣

my friend,
huna haja ya kunihakikishia mimi au wadau wengine juu ya chochote kuhusu siasa za ndani ya vyama vya siasa nchini Tanzania, Africa Mashariki, Africa na duniani kwa ujumla, kwasabb ni vitu viko wazi na vinajulikana bayana kwa kila anaetaka kujua kinachoendelea katika siasa...

wewe unakuja kumbwelambwela hapa eti ng'we ng'we ng'we sijui nini, bure kabisa 🀣
 
"Namuagiza waziri mkuu hili nalo mkaliangalie"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…