Nimekumbuka hili tukio huwaga linaniumiza sana…
Unakuta mwanaume anakuangaikia kukupata mnaenda vizuri mara anabadilika mwisho wa siku ana kwambia yeye kuna mtu yuko nae kabla yangu so ina maana mimi ni mchepuko wake
Oya kuna Kijana mmoja baada ya kuwa na kutokuelewana sana kati yetu akanifungukia hivyo.. na still anataka tuendelee kuwa wote..
Hajasema chochote kuhusu kuachana na mimi wala na huyo mwanamke wake
Najua sijamkuta single ila ndio anichane live Hii imeniuma
Kwaherini sasa 🤣🤣