Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

Mwanzoni nilifikiri ni Utani, ikageuka Kero na Sasa nimegundua ni kweli Na kuukubali

Hapo kwenye nywele na viatu ndo tunafeli sana
Hapo ndo changamoto ilipo hadi kazini siku Moja waliniweka mtu kati "yaani wewe unapata hela nyingi ila kuchukua buku tatu tu ukanyoe unaona tabu [emoji23]"...


Nikitoka out na Wana n balaa Kila siku sendo zilezile halafu bia za elfu 40! [emoji81]

Kuna muda hua najoinea huruma
 
Back
Top Bottom