Wakipekee JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 6,534 Reaction score 11,445 Nov 14, 2025 #201 waleed012 said: Hapo kwenye nywele na viatu ndo tunafeli sana Click to expand... Hapo ndo changamoto ilipo hadi kazini siku Moja waliniweka mtu kati "yaani wewe unapata hela nyingi ila kuchukua buku tatu tu ukanyoe unaona tabu [emoji23]"... Nikitoka out na Wana n balaa Kila siku sendo zilezile halafu bia za elfu 40! [emoji81] Kuna muda hua najoinea huruma
waleed012 said: Hapo kwenye nywele na viatu ndo tunafeli sana Click to expand... Hapo ndo changamoto ilipo hadi kazini siku Moja waliniweka mtu kati "yaani wewe unapata hela nyingi ila kuchukua buku tatu tu ukanyoe unaona tabu [emoji23]"... Nikitoka out na Wana n balaa Kila siku sendo zilezile halafu bia za elfu 40! [emoji81] Kuna muda hua najoinea huruma