Mwarab fighter bodyguard wa Diamond ni mmojawapo wa wafanyakazi bora wa WCB.. anajua sana kutimiza majukumu

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau.

mimi ni shabiki mkubwa wa diamond platnumz.. na wcb kwa ujumla..

kuna mtu hasikiki sana anaitwa mwarab fighter.. huyu jamaa anajua sana kutimiza majukumu yake..

niliangalia video leo akiwa anampokea zari.. jinsi anavyomuongoza kuhakikisha anakuwa safe... mpaka raha.. kuna muda zari anashangaa shangaa mwarab anamshtua tembea mama...

hata diamond kipindi anazindua karanga mwarab anavyohakikisha bosi wake yupo safe mpaka raha yaani..

jamaa ni mtu mzima na anajua sana anachofanya.. anatimiza majukumu kiutu uzima kabisa..

hongera sana mwarab fighter kwa kufanya kazi yako kwa ubora.. na hongera sana diamond kwa kutoa ajira kwake..

swali hivi hapatagi mzuka wa kiume.. maana kuna picha wapo dubai diamond na zari wamepakatana.. huku mwarabu yupo pembeni analinda.. najiuliza mashine haipataki ukakasi mazingira hayo kulinda wapendanao...

jamaa ni jembe sana.

najua diamond unamtembeza sana duniani.. kila unapoenda nae anaenda... safi sana kwa upendo wako... usisite kuhakikisha unamlipa vizuri na kumshauri pia awekeze ili watoto wake nae wajue baba yao alikuwa ni jembe.... asisishie kuendesha magari tu
 
Huyo jamaa kipindi nafanya kadegree kangu nilikua namuona uwanjani anafanya mazoezi mida ya jioni sio mchezo kabisa mazoezi yake anabinuka, kubinjuka na kurukaruka hatari.

Mazoezi yale ya kimafia kabisa akikubamba na mkewe ni shida sana.
 
Ana Kazi / Jukumu kubwa kuliko hilo unalolijua na hasa la kuwa mbeba ' Hirizi ' mkubwa na wa Kutukuka wa Ndomo Dimonde.
 
kwahiyo usingefanya hako kadigrii kako usingemuona?
 
Duuuh ama kweli. Sijui kama umesoma ulichokiandika? Na kama kimetoka ndani kabisa ya moyo wako?
kisha umetaraji kitasomwa na watu wengi pia?
 
kwahiyo usingefanya hako kadigrii kako usingemuona?
Lengo lilikuwa kuhabarisha kwamba ana kadegree na kazi hana, bora huyo mbeba vyuma asiye na degree anaingiza pesa kwa Diamond na shule hana.

Na bado Magufuli hata wazo la kutowa ajita ajira hana, nchi hii tutaendelea kutesa sisi form four graduate wale wa zamani ndio tulizaliwa na ubunifu.

Siyo hii mitoto ya sasa hasara tupu jitu mpaka linapata degree hata kitanda anacholalia hajui kukitandika asubuhi.
 
Hakuna kitu hapo waendelee kujivunia utu wa watanzania wastaarabu wasio na makuu

Ila siku akijidanganya wakadondoka Tarime ndo utaona huyo mwarabu anavyo kimbia bila boxer

Unawaongelea hawa wakurya wanaopiga na kuonyesha ubabe wao kwa wanawake? Hawa ambao wakikataliwa kimapenzi siku hizi wanakimbilia kujiua?
 
Back
Top Bottom