Inategemea. Da'Mange ana followers kibao Insta akaona aanzishe app yake lakini aliangukia pua.Jamaa ameona fursa kupitia umaarufu wa jina lake. Ni aibu kwa mtu mwenye jina kubwa katika jamii au mwenye umaarufu kuwa masikini. Umaarufu ni utajiri. Mimi nashangaa sana mtu unafahamika na watu zaidi ya laki moja halafu unalia njaa how come? Yaani umekosa kubuni kitu ambacho utakitumia kuchota pesa kwa watu hao laki moja?
[emoji106]Ndio maana Wenye busara hutu asa kuwa tusiwalaumu sana wanaotukwaza ili hali maamuzi yao huenda ndio mwanzo wa hatua zako za kuelekea mafanikio.
Bili kutokea kilichotokea bado angebaki kuwa muajiriwa wa WCB.
Askari gani wanalindwa hao watakuwa bata...Huyu atapiga pesa,
Kuna jamaa huko state alianza kimchezo mchezo na kampuni ya Blackwater,
Leo hii,vijana wake wanakodiwa na serikali ya marekani,kuwalinda askari wa marekani katika maeneo hatari kama Iraq,afaghnistan,etc.
Na kisha kuwa bilionea mkubwa tu
sasa follower wanataka ubuyu wa bure uwaletee habari za 800 watakuelewaje??Inategemea. Da'Mange ana followers kibao Insta akaona aanzishe app yake lakini aliangukia pua.
Hahahaa sasa ilikuwa inaitwaje, au umbea motomoto appInategemea. Da'Mange ana followers kibao Insta akaona aanzishe app yake lakini aliangukia pua.
Hata michango ya go fund me alipata laki2 nne tu.Huwa hafanikiwi.Inategemea. Da'Mange ana followers kibao Insta akaona aanzishe app yake lakini aliangukia pua.
Kifesi anasema dini take hairuhusu hayo mambo ya mapichapichaSAFIIIII!
nashangaa kifesi anavokaa kulia lia sijui diamond kanibloki sijui nn !!
ANGEWEZA KUKOMAA NA JINA AKAWA NA FIRM YAKE KWENYE ENEO LA PICHA NA VIDEO PRODUCTION.
NDO JINA KIFESI LINAONDOKA UPANDE WA MAPICHA PICHA!!
Mange ilifungiwa na serikali halafu hakuwa serious sana ila akidhamiria itamtoaInategemea. Da'Mange ana followers kibao Insta akaona aanzishe app yake lakini aliangukia pua.