Mwarabu fighter kafungua kampuni yake ya ulinzi

Webb

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
425
Reaction score
883
d54d2ddb8dcf05a985cf67d80e94f725.jpg

Ni hatua kubwa sana kwake,mara baada ya tetesi nyingi za kufukuzwa WCB.
Bora kaamua kujiajiri,na umaarufu wake utamsaidia kujitangaza sana.

Hongera bro.
 
Last edited:
SAFIIIII!
nashangaa kifesi anavokaa kulia lia sijui diamond kanibloki sijui nn !!

ANGEWEZA KUKOMAA NA JINA AKAWA NA FIRM YAKE KWENYE ENEO LA PICHA NA VIDEO PRODUCTION.

NDO JINA KIFESI LINAONDOKA UPANDE WA MAPICHA PICHA!!
 
Huyu atapiga pesa,
Kuna jamaa huko state alianza kimchezo mchezo na kampuni ya Blackwater,
Leo hii,vijana wake wanakodiwa na serikali ya marekani,kuwalinda askari wa marekani katika maeneo hatari kama Iraq,afaghnistan,etc.
Na kisha kuwa bilionea mkubwa tu
 
Ndio maana Wenye busara hutu asa kuwa tusiwalaumu sana wanaotukwaza ili hali maamuzi yao huenda ndio mwanzo wa hatua zako za kuelekea mafanikio.

Bila kutokea kilichotokea bado angebaki kuwa muajiriwa wa WCB.
 
Last edited:
Jamaa ameona fursa kupitia umaarufu wa jina lake. Ni aibu kwa mtu mwenye jina kubwa katika jamii au mwenye umaarufu kuwa masikini. Umaarufu ni utajiri. Mimi nashangaa sana mtu unafahamika na watu zaidi ya laki moja halafu unalia njaa how come? Yaani umekosa kubuni kitu ambacho utakitumia kuchota pesa kwa watu hao laki moja?
 
Inategemea. Da'Mange ana followers kibao Insta akaona aanzishe app yake lakini aliangukia pua.
 
Ndio maana Wenye busara hutu asa kuwa tusiwalaumu sana wanaotukwaza ili hali maamuzi yao huenda ndio mwanzo wa hatua zako za kuelekea mafanikio.

Bili kutokea kilichotokea bado angebaki kuwa muajiriwa wa WCB.
[emoji106]
 
SAFIIIII!
nashangaa kifesi anavokaa kulia lia sijui diamond kanibloki sijui nn !!

ANGEWEZA KUKOMAA NA JINA AKAWA NA FIRM YAKE KWENYE ENEO LA PICHA NA VIDEO PRODUCTION.

NDO JINA KIFESI LINAONDOKA UPANDE WA MAPICHA PICHA!!
Kifesi anasema dini take hairuhusu hayo mambo ya mapichapicha
 
Back
Top Bottom