Mwarabu fighter kafungua kampuni yake ya ulinzi

Mwarabu fighter kafungua kampuni yake ya ulinzi

SAFIIIII!
nashangaa kifesi anavokaa kulia lia sijui diamond kanibloki sijui nn !!

ANGEWEZA KUKOMAA NA JINA AKAWA NA FIRM YAKE KWENYE ENEO LA PICHA NA VIDEO PRODUCTION.

NDO JINA KIFESI LINAONDOKA UPANDE WA MAPICHA PICHA!!
Mbona Alifanya Hivyo akawa anapiga piga picha
 
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna jamaa somebody kimbau alifunguaga kampuni yake ya ulinzi sema ilisheheni mabaunsa...walikuwa wanapata tenda kwenye kumbi za starehe..
Ila kampuni hiyo ilijifiaga

Ova
 
Back
Top Bottom