lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Jamaa ameona fursa kupitia umaarufu wa jina lake. Ni aibu kwa mtu mwenye jina kubwa katika jamii au mwenye umaarufu kuwa masikini. Umaarufu ni utajiri. Mimi nashangaa sana mtu unafahamika na watu zaidi ya laki moja halafu unalia njaa how come? Yaani umekosa kubuni kitu ambacho utakitumia kuchota pesa kwa watu hao laki moja?
Kuna msanii mmoja anaitwa Shilole,huwa kuna muda wengine wanamuonaga kama 'fyatu' lakini ana akili vibaya mno ya kutafuta pesa na kupiga hatua katika kila kitu.
Ametumia umaarufu wake sasa nasikia anapika na anauza vyakula safi tu.
Ametumia umaarufu wake sasa nasikia anapika na anauza vyakula safi tu.