cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hongera nyingi kwake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
App hata wewe unaweza fungua, kwani inagharimu Nini, tatizo serikali yako ilimletea figisu kupitia TCRA....kwani mange amekosa Nini...
Kwa hapa bongo,hauhitaji special force,mafunzo ya mgambo kwa kuanzia yanatosha,kwanza sheria zetu sidhani kama zinaruhusu vikundi vya ulinzi kuwa na silaha za moto,zaidi ya gobole.Unajua jamaa wa black water ni former special forces operator. Yeye mwenyewe ni former seal. Tatizo ni kupata vijana wenye background ya nzuri ya mafunzo ya kijeshi au uwanja vita hapa tz ni ngumu kidogo.
Ila wapo wachache... jamaa atafika mbali.
Mkuu hapa hatuongelei project.strength
weakness
opportunity
threat
Mzungu alikuja akatawala akili za watu weusi akaondoka akaacha sumu kali sana ya kujidharau, tukiweza kuitoa hii sumu tutafika mbali kweliWajue wapi, wanajua kuwasukuma machangudoa nje ya clubs tu.
Mzungu alikuja akatawala akili za watu weusi akaondoka akaacha sumu kali sana ya kujidharau, tukiweza kuitoa hii sumu tutafika mbali kweli
Usimhukumu mtu kabla! Nadhani hata yeye atakuwa anajua kuwa silaha kubwa ya kufanikiwa kwenye kampuni yoyote ya ulinzi ni ktunza siri za mteja na uaminifu! Mbona huko alikokuwa hajaonyesha kuvunja hiyo miiko?Labda walinde harusi na mambo mengine, ukiwa na mihela yako au home watu kama hawa ndio wachonga dili wenyewe, jilinde mwenyewe.
Akiwa mbunifu bado soko ni kubwa! Siku zote kazi za kutoa huduma anayefanikiwa ni yule mwenye huduma nzuri na siyo aliyeanza!Amechelewa kazi zote za ulinzi wanalamba Suma JKT
Kwani kujifundisha ku-shoot video ni ngumu sana au? Hiki ni kitu mtu yoyote mwenye nia anaweza kujifunza kwa muda mfupi. Hasa mtu ambaye yuko kwenye fani ya picha!Kumbe video hawezi?
Nani ni former seal?Unajua jamaa wa black water ni former special forces operator. Yeye mwenyewe ni former seal. Tatizo ni kupata vijana wenye background ya nzuri ya mafunzo ya kijeshi au uwanja vita hapa tz ni ngumu kidogo.
Ila wapo wachache... jamaa atafika mbali.
Good xn kijana mchakarikajiView attachment 823750
Ni hatua kubwa sana kwake,mara baada ya tetesi nyingi za kufukuzwa WCB.
Bora kaamua kujiajiri,na umaarufu wake utamsaidia kujitangaza sana.
Hongera bro.
Hata walinzi binafsi?Amechelewa kazi zote za ulinzi wanalamba Suma JKT
Mwanzilishi wa black water security services. Anaitwa erik prince. Huyu alikuwa commando katika jeshi la maji la marekani . Alamaarufu kama navy seals au seal.Nani ni former seal?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wajue wapi, wanajua kuwasukuma machangudoa nje ya clubs tu.
Huyo Arafat ngumi jiwe kuna siku nilisikia kwenye kipindi cha XXL wamempigia simu wanamuuliza eti ni kweli alifumaniwa na mke Wa mtu akala kichapo cha hatari na kisha akaliwa tigo? Ila akakataa japo kwa muda huo alikili kuwa hajisikii fresh. Na Dully Sykes alipopigiwa simu akasema yeye ni kweli ametemana nae kwa sababu kashfa ya huyo jamaa si nzuri hata kwa watoto wadogo kuisikia.Safi kuna mwenzake alikuwa anajiita ngumi jiwe aliwika sana kwa kutajwa na dully sijui kapotelea wapi?
sifa ya majambazi ni kuvaa miwani myeusi? nimewah ona walizni wa obama wakiwa wamepigilia miwano myeusiHivi kwani lazima wanune na kuvaa miwani myeusi kama majambazi?
sifa ya majambazi ni kuvaa miwani myeusi? nimewah ona walizni wa obama wakiwa wamepigilia miwano myeusi