Mwarabu Fighter: Nikiwa kwa Diamond nililala na kula hoteli za kifahari lakini niliishi maisha ya madeni

Mwarabu Fighter: Nikiwa kwa Diamond nililala na kula hoteli za kifahari lakini niliishi maisha ya madeni

Bila kujalisha unafanya kazi kwa nani na unalipwa shilingi ngapi, tujifunze kuwa na maisha binafsi na kutambua kuwa wajib wa maendeleo yako uko juu yako mwenyewe.
Na siku zote shida ndio humpa mtu akili za kutafuta bora.
Hivyo badala ya kulia lia, tujikite kuhoji namna tunavyoweza toka mahala tulipo kwama. Badala ya kulaumu, tuyaeleze kama namna ya ku inspire wengine sio kuwakashifu waliotusaidia kupiga hatua
 
Diamond ni mbepari atakupa chakula na mavazi ili uonekane umo Ila utalala vichochoroni na hautamiliki uchumi hawa madogo wote wanaelewa
Kwamba hakulipi pesa ya mshahara?
Kama ni hivyo basi shida si ya Diamond ni ya kwako, kwann ufanye kazi isiyokulipa?

Kama anamlipa shida pia si ya diamond kupanga matumizi mazuri ya kutumia sawa sawa kile unacholipwa..
 
Hapo ameongea kiutu uzima labda hujamuelewa.
Mimi nilichomuelewa ni kwamba kule kwa Diamond kuna maisha ya show off ila pesa inayopatikana ni ndogo ukilinganisha na sasa hivi alivyojitenga na kujianzishia miradi yake binafsi
Ahsante kwa ufafanuzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ameongea kiutu uzima labda hujamuelewa.
Mimi nilichomuelewa ni kwamba kule kwa Diamond kuna maisha ya show off ila pesa inayopatikana ni ndogo ukilinganisha na sasa hivi alivyojitenga na kujianzishia miradi yake binafsi
SHOW OFF MWANZO MWISHO!!! MFANO HALISI NI HILI TUKIO LA MWANADADA JOYCE MBAGA aka Nicole Berry. labda ni vyema wakawa wanapata seminar za hapa na pale za kujinga kiuchumi nk.
 
SHOW OFF MWANZO MWISHO!!! MFANO HALISI NI HILI TUKIO LA MWANADADA JOYCE MBAGA aka Nicole Berry. labda ni vyema wakawa wanapata seminar za hapa na pale za kujinga kiuchumi nk.
Yeah huwa wanaprefer kupata misifa zaidi kuliko uhalisia na kushindwa kujijenga maisha yao ya mbeleni.
 
Back
Top Bottom