Mwarabu Fighter: Nikiwa kwa Diamond nililala na kula hoteli za kifahari lakini niliishi maisha ya madeni

Mwarabu Fighter: Nikiwa kwa Diamond nililala na kula hoteli za kifahari lakini niliishi maisha ya madeni

Kama alikuwa analipwa na akaish maisha ya madeni thats up to him? Daimond anahusikaje tena hapo?
watz mna vichwa vigumu , unaezaj lipwa na ukaish maisha ya madeni na bado ukamlaumu boss wako ? hapo katumi lugha ya kikubwa kuwa alikuwa halipwi kbs au halipwi kwa wakati , kiufup swala la malipo lilikuwa lina shidooo
 
Bila kujalisha unafanya kazi kwa nani na unalipwa shilingi ngapi, tujifunze kuwa na maisha binafsi na kutambua kuwa wajib wa maendeleo yako uko juu yako mwenyewe.
Na siku zote shida ndio humpa mtu akili za kutafuta bora.
Hivyo badala ya kulia lia, tujikite kuhoji namna tunavyoweza toka mahala tulipo kwama. Badala ya kulaumu, tuyaeleze kama namna ya ku inspire wengine sio kuwakashifu waliotusaidia kupiga hatua
umemwelewa mwarab lkn
 
Back
Top Bottom