Bitcoinbase
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 319
- 285
MWAUWASA( Mwanza Nyamagana ) acheni wizi kubambikizia bili za Maji Wateja na urasimu kwenye mchakato wa kuunganishwa Huduma ya Maji. Inaumiza wananchi au mnataka wananchi waingie barabarani kama Kenya ndio mjue maumivu mnayowapa wananchi kwa bili za uongo?
Pia soma - MWAUWASA: Mwanza hakuna changamoto ya uhaba wa huduma ya maji, mteja mwenye changamoto awasiliane nasi
Pia soma - MWAUWASA: Mwanza hakuna changamoto ya uhaba wa huduma ya maji, mteja mwenye changamoto awasiliane nasi