MWAUWASA au TANESCO mmoja wenu analeta drama kwenye ishu serious!

MWAUWASA au TANESCO mmoja wenu analeta drama kwenye ishu serious!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kuna member alileta uzi humu kwamba maji yanasumbua Mwanza, na MWAUWASA wakaja na kiteteo kwamba umeme unasumbua na wako wanashirikiana na TANESCO kusolve.

MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme

IMG_9066.jpeg

Hafu leo TANESCO nao wanakataa wanasema hakuu uo msala hauwahusu.

IMG_9065.jpeg
 
Back
Top Bottom