Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Jun 14, 2026 #1 Kuna member alileta uzi humu kwamba maji yanasumbua Mwanza, na MWAUWASA wakaja na kiteteo kwamba umeme unasumbua na wako wanashirikiana na TANESCO kusolve. MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme Hafu leo TANESCO nao wanakataa wanasema hakuu uo msala hauwahusu.
Kuna member alileta uzi humu kwamba maji yanasumbua Mwanza, na MWAUWASA wakaja na kiteteo kwamba umeme unasumbua na wako wanashirikiana na TANESCO kusolve. MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme Hafu leo TANESCO nao wanakataa wanasema hakuu uo msala hauwahusu.
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 6,895 Reaction score 11,025 Jun 14, 2026 #2 RC wa Mwanza , akiendelea na ujinga wake , atawaletea wananchi shida sana,