MAJIBU YA MWAUWASA...
Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto uliyoipata, tafadhali tujuze ni Kishiri sehemu gani? Eneo la Kishiri limeendelea kupata huduma kila wiki kadri migao ya maji inavyotekelezwa, tafadhali wasiliana nasi kwa simu namba 0800110023 Bure au fika katika ofisi zetu kwa msaada wa haraka.