KERO MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka. Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji

KERO MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka. Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

tausi2020

Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
67
Reaction score
94
MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka.
Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji, na sasa tatizo limejirudia tena bila maelezo yoyote kutoka kwenu. Wananchi tunapata usumbufu mkubwa—maisha, afya na shughuli zetu zimeathirika.
IMG_2805.jpeg



Tunaomba maelezo ya wazi:

  1. Tatizo ni lipi hasa na kwa nini linajirudia?
  2. Ni hatua gani zimechukuliwa kutatua changamoto hii?
  3. Maji yatarejea lini?
  4. Kwa nini hakuna taarifa rasmi kwa wananchi?
Tafadhali mtujulishe mapema ili tupange maisha yetu ipasavyo.
IMG_2802.jpeg
 
Mwanza na Musoma kua na changamoto ya maji naonaga kama ni uzembe wa mamlaka tu.

Source ipo, mchawi miundombinu tu.
 
Back
Top Bottom