Mwaza mkoa au jiji kubwa lakini watu wake hawabadiliki kwanini?

Mwaza mkoa au jiji kubwa lakini watu wake hawabadiliki kwanini?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hi
Mwanza ni jiji nzuri sana na lina muongiliano mkubwa wa watu kwa maana ya watu kutoka mikoa tofauti iko pale lakini watu wake bado wana ushamba sana licha ya kuwa na muingiliano mkubwa kwanini hawataki kubadilika?

Pia mwaza biashara kila kona iz ndogo ndogo sijajua kama mwaza mzungu wa pesa sio mgumu ila naona kama wakazi wake sio wabunifu kama Arusha au Dar es salaam
 
Mkuu mwaza ni kijiji kikubwa watu wake hawana exposure yani ukikutana na msukuma moja kwa moja Wana vina saba na ushamba.
 
Back
Top Bottom