Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Agro Eco Energy alijiondoa kwenye mradi wa sukari wa Bagamoyo 2015, huyu aliyeikamata ndege yetu ni nani? Mwigulu Nchemba tunahitaji majibu hapa.
Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la tarehe 21 October 2015 kampuni ya The Swedish international Agency ilijitoa kwenye uwekezaji wa mradi wa sukari wa Bagamoyo, kwa kile ilichodai kuwa serikali imeshimdwa kutatua mgogoro wa ardhi uliokuwepo kati ya mwekezaji na wanainchi.
Mwaka 2015 baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa kilimo ulimwandikia barua mwekezaji ukimtaka aje kuendeleze ule mradi, baada ya mwekezaji kurejea akagonga mwamba kwani PM Majaliwa na Waziri wa Biashara na viwanda walikataa kutoa go ahead ya huo mradi.
Juhudi zilifanyika za kumuomba JPM awape amri PM na Waziri wa Viwanda na Biashara watoe go ahead lakini ziligonga mwamba.
maswali yangu kwako;
1. Licha ya kwamba eneo husika halikuwa na sifa ya huo mradi kutoka kwenye mpango ule was G8 Industrial Nations wa New Alliance For Food Security & Nutrition Initiative ulitumia vigezo gani kutaka kufufua huo mradi ukizingatia bado mgogoro wa bado haujatatuliwa?
2. Tukisema moja kwa moja unahusika katika hili sakata la ndege yetu mkiwa na nia ya kuiba mali ya umma tutakuwa tumekosea.
3. Je, unaweza kutuambia ni akina nani wako nyuma ya huu mpango kama wabia amabao walitaka serikali iwadhamini wachukue mkopo?
4. Kwanini muwekezaji hakufungua kesi kipindi hicho baada ya Serikali kukataa kuwa endorse?
Chawa mkinibu mje na facts hapa.