Tetesi: Mwekezaji aliyeikamata ndege yetu alijitoa kwenye mradi mwaka 2015 Mwigulu Nchemba ukataka kumrudisha ikashindikana. Sasa hayo madai ni ya nini?

Jiwe yupi tena anyongwe mkuu wakati alishajifia huko au mifupa yake inyongwe hadi ikatike
 
MoU ilisainiwa 2003 na kumilikishwa ardhi 2013, hapa Jiwe anahusikaje? Kwani huruhusiwi kutumia akili japo kidogo? Michongo imechorwa zamani. Hebu wazia loliondo unajua imeuzwa lini na mgogoro umeibuka lini
Miradi mingi ilikuwa ya michongo tupu, ndio maana jpm alikuwa anaitupilia mbali maana ilikuwa na 10% za wakulu mule ndani.
 

Marehem aliiharibu mno hii nchi hata akiwa hai aliyakoroga mengi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…