Mwekezaji inabidi ampe Diamond takriban nusu ya faida ili kutumia jina la WASAFI lasivyo apambane kivyake

Ninacho jua mimi ni kwamba Domo ni genius ama yeye mwenyewe au watu sahihi walio mzunguka

Wakati mwingine makubaliano ya hizi biashara inaweza kuwa siri baina ya wahusika

But one thing for sure ni kwamba ni biashara yenye faida nono mmno

Kuna namna nyingi ya kuingia makubaliano

Unaweza kupewa hisa ziwe zako ili uwe sehemu ya umiliki
Unaweza kuwa unalipwa tu asilimia fulani za gawio la faida

Kwa namna yoyote ile hasara haimuhusu Domo zaidi ya faida tu

Maselebriti wengi duniani hizi ndio biashara zao, wakati mwingine kuanzisha biashara kubwa sana from scratch ni gharama na risk, biashara kama hizi ndio tamu sasa

Kikubwa hapa ni kujua kwamba Domo anajua sana kuitumia vyema brand yake kupiga mkwanja wakati wengine wanalialia kulipishwa m500 miaka 3 iliopita
 
Sasaaa unaanzisha biashara ili ufanye nini zaidi ya kuuza....Na bila jina kama azam huwezi breakeven kwa muda mfupi kuanzia kwenye jamii mpaka kwa distributors na supplies bado hujawaongelea wholesale na retailers kukubali brand yako hiyo mpya....
YES JINA LA AZAM linaweza kuwa na thamani zaidi ya viwanda vyako 10 vya maji
 
Uko Sawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…