Ninacho jua mimi ni kwamba Domo ni genius ama yeye mwenyewe au watu sahihi walio mzunguka
Wakati mwingine makubaliano ya hizi biashara inaweza kuwa siri baina ya wahusika
But one thing for sure ni kwamba ni biashara yenye faida nono mmno
Kuna namna nyingi ya kuingia makubaliano
Unaweza kupewa hisa ziwe zako ili uwe sehemu ya umiliki
Unaweza kuwa unalipwa tu asilimia fulani za gawio la faida
Kwa namna yoyote ile hasara haimuhusu Domo zaidi ya faida tu
Maselebriti wengi duniani hizi ndio biashara zao, wakati mwingine kuanzisha biashara kubwa sana from scratch ni gharama na risk, biashara kama hizi ndio tamu sasa
Kikubwa hapa ni kujua kwamba Domo anajua sana kuitumia vyema brand yake kupiga mkwanja wakati wengine wanalialia kulipishwa m500 miaka 3 iliopita