Mwekezaji Kutoka Ubelgiji Kujenga Kiwanda Cha Kubangua Korosho Nchini

Trump2

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,553
Reaction score
2,609
Kaimu Mkurugenzi wa Ulaya na Marekani kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Jestas Nyamanga amesema Mwekezaji kutoka Ubelgiji atafungua Kiwanda cha cha kubangua Korosho nchini.

Nyamanga aliyefanya mazungumzo na gazeti la 'Daily News' amesema Mwekezaji huyo alikuwa katika hatua ya kushughulikia taratibu za mwisho mwisho kabla ya kufungua Kiwanda cha kwanza nchini.

Dailynews
 
Fikiri kwa kutumia akili sio makalio,
Nyambafu
Ni akili ya kawaida kabisa bila ya unafiki wowote kwamba hii ni habari mbaya kwenu. Ulizia au baki kwenye hii thread, wapinzani watasema ni uongo, propaganda za gova, watashauri mwekezaji asije au asepe sababu magu kaharibu investment environment, yani magu anajaribu kuwahepa wawekezaji wanaotunyonya, na inafahamika fika wapinzani walisema wanatunyonya, ila sababu amefanya magilu, basi amekosea, etc etc.

Watu kama hao utawaregard aje buda boss.
Babylonians by birth. I pray doom unto them.
 
Eti kutoka Ubeligiji
Kila siku ni uongo kwenda mbele
 
Ni akili ya kawaida kabisa bila ya unafiki wowote kwamba hii ni habari mbaya kwenu. Ulizia au baki kwenye hii thread, wapinzani watasema ni uongo, propaganda za gova, watashauri mwekezaji asije au asepe sababu magu kaharibu investment environment, yani magu anajaribu kuwahepa wawekezaji wanaotunyonya, na inafahamika fika wapinzani walisema wanatunyonya, ila sababu amefanya magilu, basi amekosea, etc etc.

Watu kama hao utawaregard aje buda boss.
Babylonians by birth. I pray doom unto them.
Hivi mnadhani nchi hii watu wote ni wanasiasa?hivi mnadhan watanzania wote ni ccm ,cdm etc?sisi ni watanzania wala sio ccm,cdm etc,hayo mavyama hayajawahi kutusaidia lolote zaidi ya kupiga hatua kumi mbele 40 nyuma,tunataka maendeleo wala sio mavyama yenu
Tumechoshwa na mavyama ambayo hayana maana zaidi ya kuumizana na kutesana
 
Kama ni taratibu za mwisho mwisho inamaanisha ombi lilikuepo kabla ya leo. Kwanini taarifa tumepewa leo? Kaka yangu anakwambia "Akili kumtwe"
 
Hivi mnadhani nchi hii watu wote ni wanasiasa?hivi mnadhan watanzania wote ni ccm ,cdm etc?sisi ni watanzania wala sio ccm,cdm etc,hayo mavyama hayajawahi kutusaidia lolote zaidi ya kupiga hatua kumi mbele 40 nyuma,tunataka maendeleo wala sio mavyama yenu
Tumechoshwa na mavyama ambayo hayana maana zaidi ya kuumizana na kutesana
wewe kaa pembeni acha wanasiasa waambiane ukweli. Maisha na siasa ni kama chai na sukari. JPM kaza buti Tanzania ya viwanda ni lazima.
 
Bila siasa hakuna maisha usijidanganye
Hivi mnadhani nchi hii watu wote ni wanasiasa?hivi mnadhan watanzania wote ni ccm ,cdm etc?sisi ni watanzania wala sio ccm,cdm etc,hayo mavyama hayajawahi kutusaidia lolote zaidi ya kupiga hatua kumi mbele 40 nyuma,tunataka maendeleo wala sio mavyama yenu
Tumechoshwa na mavyama ambayo hayana maana zaidi ya kuumizana na kutesana
 
Upewe taarifa usipewe taarifa kamawawekezaji wamekuja watakao faidika ni Watanzania. Tanzania kwanza upuuzi wenu baadae.

Neno walahi
Achana na mijitu iliyo laaniwa milele walahi
 
Hivi Yale makampuni 100 aliyosema majaliwa yanaanza ujenzi wa smelter enzi zile za makinikia zilipotelea wapi?
Na yenyewe yatakuwa kwenye hatua za mwisho mwisho kukamilisha ujenzi wao.
 
Back
Top Bottom