Kaimu Mkurugenzi wa Ulaya na Marekani kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Jestas Nyamanga amesema Mwekezaji kutoka Ubelgiji atafungua Kiwanda cha cha kubangua Korosho nchini.
Nyamanga aliyefanya mazungumzo na gazeti la 'Daily News' amesema Mwekezaji huyo alikuwa katika hatua ya kushughulikia taratibu za mwisho mwisho kabla ya kufungua Kiwanda cha kwanza nchini.
Dailynews