Ni akili ya kawaida kabisa bila ya unafiki wowote kwamba hii ni habari mbaya kwenu. Ulizia au baki kwenye hii thread, wapinzani watasema ni uongo, propaganda za gova, watashauri mwekezaji asije au asepe sababu magu kaharibu investment environment, yani magu anajaribu kuwahepa wawekezaji wanaotunyonya, na inafahamika fika wapinzani walisema wanatunyonya, ila sababu amefanya magilu, basi amekosea, etc etc.Fikiri kwa kutumia akili sio makalio,
Nyambafu
Eti kutoka UbeligijiNi akili ya kawaida kabisa bila ya unafiki wowote kwamba hii ni habari mbaya kwenu. Ulizia au baki kwenye hii thread, wapinzani watasema ni uongo, propaganda za gova, watashauri mwekezaji asije au asepe sababu magu kaharibu investment environment, yani magu anajaribu kuwahepa wawekezaji wanaotunyonya, na inafahamika fika wapinzani walisema wanatunyonya, ila sababu amefanya magilu, basi amekosea, etc etc.
Watu kama hao utawaregard aje buda boss.
Babylonians by birth. I pray doom unto them.
Hivi mnadhani nchi hii watu wote ni wanasiasa?hivi mnadhan watanzania wote ni ccm ,cdm etc?sisi ni watanzania wala sio ccm,cdm etc,hayo mavyama hayajawahi kutusaidia lolote zaidi ya kupiga hatua kumi mbele 40 nyuma,tunataka maendeleo wala sio mavyama yenuNi akili ya kawaida kabisa bila ya unafiki wowote kwamba hii ni habari mbaya kwenu. Ulizia au baki kwenye hii thread, wapinzani watasema ni uongo, propaganda za gova, watashauri mwekezaji asije au asepe sababu magu kaharibu investment environment, yani magu anajaribu kuwahepa wawekezaji wanaotunyonya, na inafahamika fika wapinzani walisema wanatunyonya, ila sababu amefanya magilu, basi amekosea, etc etc.
Watu kama hao utawaregard aje buda boss.
Babylonians by birth. I pray doom unto them.
wewe kaa pembeni acha wanasiasa waambiane ukweli. Maisha na siasa ni kama chai na sukari. JPM kaza buti Tanzania ya viwanda ni lazima.Hivi mnadhani nchi hii watu wote ni wanasiasa?hivi mnadhan watanzania wote ni ccm ,cdm etc?sisi ni watanzania wala sio ccm,cdm etc,hayo mavyama hayajawahi kutusaidia lolote zaidi ya kupiga hatua kumi mbele 40 nyuma,tunataka maendeleo wala sio mavyama yenu
Tumechoshwa na mavyama ambayo hayana maana zaidi ya kuumizana na kutesana
Eti kutoka Ubeligiji
Kila siku ni uongo kwenda mbele
Hivi mnadhani nchi hii watu wote ni wanasiasa?hivi mnadhan watanzania wote ni ccm ,cdm etc?sisi ni watanzania wala sio ccm,cdm etc,hayo mavyama hayajawahi kutusaidia lolote zaidi ya kupiga hatua kumi mbele 40 nyuma,tunataka maendeleo wala sio mavyama yenu
Tumechoshwa na mavyama ambayo hayana maana zaidi ya kuumizana na kutesana
Wanakuja wengi we subiriwa kwanza huyo kaibuka
Upewe taarifa usipewe taarifa kamawawekezaji wamekuja watakao faidika ni Watanzania. Tanzania kwanza upuuzi wenu baadae.Kama ni taratibu za mwisho mwisho inamaanisha ombi lilikuepo kabla ya leo. Kwanini taarifa tumepewa leo? Kaka yangu anakwambia "Akili kumtwe"
Na bado walahiHabari mbaya sana hizi kwa chadema
Upewe taarifa usipewe taarifa kamawawekezaji wamekuja watakao faidika ni Watanzania. Tanzania kwanza upuuzi wenu baadae.
Ile smelter yakuchenjua Makinikia imejengwa wapi?Wanakuja wengi we subiri
Yaani, ni mbaya kwao kama zile za sisi kulipwa pesa za makinikia yetu.Habari mbaya sana hizi kwa chadema
Na yenyewe yatakuwa kwenye hatua za mwisho mwisho kukamilisha ujenzi wao.Hivi Yale makampuni 100 aliyosema majaliwa yanaanza ujenzi wa smelter enzi zile za makinikia zilipotelea wapi?