Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
Usiangaike na haya mapuuzi.Hivi Yale makampuni 100 aliyosema majaliwa yanaanza ujenzi wa smelter enzi zile za makinikia zilipotelea wapi?
Leo hii wanathubutu kusema hawqna kiwanda cha kubangua korosho.
Hivyo viwanda 3000 vilikua vywa kusindika pum.bu za nguruwe au?