Mwekezaji Mo Dewji, Mwenyekiti Nkwabi, Bodi nzima na wana Simba SC wote tuhakikishe CEO Magori anaendelea kuwa CEO Msimbazi

Mwekezaji Mo Dewji, Mwenyekiti Nkwabi, Bodi nzima na wana Simba SC wote tuhakikishe CEO Magori anaendelea kuwa CEO Msimbazi

Magori huyo ni mbeba mikoba ya MO, alifukuzwa NSSF kwa ufisadi, anashirikiana na MO kuitapeli simba, zile pesa za CAF hazijulikani zimeenda wapi, aondoke mapema kabla hajaishia jela!
Mambo ya simba yanakuhusu nini wewe shabiki wa kwasukwasu fc...timu lenu linashindia matikiti huko bigwa morogoro
 
Watu wamewekeza pesa ili faida ipatikane na wai re-invest tena,kununua wachezaji wapya na kuendeshea club,we unauliza as if ulichangia,we kazi yako ni kushabikia team acheni uswahili kwenye mpira wa kisasa inakera sana,mpira wa kisasa ni biashara,,eti wanaitapeli,simba ilikuwa na Nini kabla ya mo?
Mkuu wewe ni mgeni humu???hilo ni shabiki ombaomba fc wote tunalijua humu
 
Ni lini hela ya mwekezaji itaingizwa kwenye akaunti ya Simba kama ilivyokubaliwa kwenye Mkutano mkuu ?
Wewe shabiki wa kwasukwasu fc maswala ya pesa ya mwekezaji kuingizwa kwenye account ya simba yanakuhusu nini????...wewe inatakiwa uwaulize viongozi wako ni lini wachezaji wenu wataacha kushindia matikiti huko bigwa morogoro
 
Kwani unajua hati anayo nani?
Anazo mwinyi zahera...mashabiki ya makwasukwasu bhana...yamekazania hatihati 😂 😂 😂 ...sasa hati za simba zinawahusu nini....wachezaji wenu wanagoma hawajalipwa wengine wanashindia matikiti huko bigwa morogoro nyie mmekazania hatihati...kwa taarifa yenu hao simba mnaowafuatilia timu yao ya wanawake wapo germany...wanaume wapo south...nyie mpo bigwa morogoro 😂 😂 😂...hati tumempa mwinyi zahera ili mfurahi vizuri
 
Magori huyo ni mbeba mikoba ya MO, alifukuzwa NSSF kwa ufisadi, anashirikiana na MO kuitapeli simba, zile pesa za CAF hazijulikani zimeenda wapi, aondoke mapema kabla hajaishia jela!
Acha majungu mkuu mafisadi wote wako mahakamani
 
😂😂😂 nacheka kama mazuri vile! Watu wanapigana vikumbo wakati mwenye hati ametulia tu.

Halafu anayemiliki hati ya timu si ndio mmiliki halali wa Simba SC!

Sijui itakuaje kwa mashabiki na wapenzi wa mpira siku mwenye timu akijulikana rasmi!

Sijui mashabiki na wapenzi wa Simba SC watajisikiaje kuona timu inahamishia makazi yake jijini Mwanza?

Yajayo yanafurahisha zaidi! Je, mko tayari?

Jitahidi sana ukiwa Verified Member basi hata Uwasilishaji wako uwe wa Kiakili na siyo ule wa hovyo hovyo kama huu wako.
 
😂😂😂 nacheka kama mazuri vile! Watu wanapigana vikumbo wakati mwenye hati ametulia tu.

Halafu anayemiliki hati ya timu si ndio mmiliki halali wa Simba SC!

Sijui itakuaje kwa mashabiki na wapenzi wa mpira siku mwenye timu akijulikana rasmi!

Sijui mashabiki na wapenzi wa Simba SC watajisikiaje kuona timu inahamishia makazi yake jijini Mwanza?

Uelewa wako wa mambo ni mdogo, naona unashindwa kutofautisha hati ya majengo na timu, naona ww hata familia yako pia ina hati ambayo mtu akiipata anaweza hata kuja kumuoa mke wako
 
Teh! Ujue hiki anachojaribu kukifanya Mo Dewji kilishafanyika huko nyuma na kuna watu wana hati miliki za kila kitu.

Mo Dewji anafahamu hili kwa sababu kuna baba zake wadogo walishaongoza hii timu na waliwekwa na mtu fulani [...] ili kukwepa kesi ya uhujumu uchumi.

Huyu jamaa anafahamu ukweli wote, ndio maana anaulizia hati ili aweze kumiliki timu mazima.

Let me ask you, kwa timu unayoshabikia unapata faida gani? Kuna siku umeitwa kwenda kuchukua faida iliyopatikana kwenye timu yako? Mo hata kama akipewa simba yote hakuna hasara yoyote ambayo shabiki wa simba atapata as long as Yanga akija anapigwa 5 na tunafanya vizuri kimataifa,
 
Nyie ndio mashabiki maandazi, mbona ujauliza pesa za usajili zimetoka wapi? Pesa za kambi five star hotel zinatoka wapi? Pesa ya pre season zinatoka wapi? Pesa za salary za wachezaji zinatoka wapi?
Mkuu, usiumize kichwa, hao ndiyo wanaoitwa wapumbavu wenye hoja dhaifu za kubomoa maendeleo. Inakera sana.

Shetani haachi kuharibu kama sifa yake ilivyo. Akikuona unapiga hatua ya maendeleo ndipo hutafuta mbinu kuanzisha mgogoro na yeye hukaa mbali kuinjoi jinsi moto unavyowaka.

Laah!! Tuna safari ndefu sana kwa jinsi hii [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri vile! Watu wanapigana vikumbo wakati mwenye hati ametulia tu.

Halafu anayemiliki hati ya timu si ndio mmiliki halali wa Simba SC!

Sijui itakuaje kwa mashabiki na wapenzi wa mpira siku mwenye timu akijulikana rasmi!

Sijui mashabiki na wapenzi wa Simba SC watajisikiaje kuona timu inahamishia makazi yake jijini Mwanza.
Huu sasa upopoma.
Hata ihamishiwe Ambangulu kule milimani, bado unakuwa Simba tu.
"dull minded discuss people and simple minded discuss rubbish events"
 
Mimi pia ni mshabiki wa Simba SC, hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya burudani.

Haah! Mimi leo nimeamua kudokezea tu jamani! Kwani kesi inatoka wapi?

Hili pia ni jambo la kheri kwa kila shabiki wa timu kuona Simba SC inafanya vizuri kitaifa na kimataifa.

Then achana na mawazo mgando ya wakina kilomoni ambao wanadai bilioni 20 bila kudai kulipa pesa za usajili
 
Magori akiondoka simba naona watu hawa watafaa.

1 Try again
2 Saad Kawemba
3 Patrick Kahemele
 
Teh! Ujue hiki anachojaribu kukifanya Mo Dewji kilishafanyika huko nyuma na kuna watu wana hati miliki za kila kitu.

Mo Dewji anafahamu hili kwa sababu kuna baba zake wadogo walishaongoza hii timu na waliwekwa na mtu fulani [...] ili kukwepa kesi ya uhujumu uchumi.

Huyu jamaa anafahamu ukweli wote, ndio maana anaulizia hati ili aweze kumiliki timu mazima.
Watu wamegoma kwenda kambini, afu mko bize na hati ya simba.
Tukutane msimu ujao
 
Back
Top Bottom