Mwekezaji Mo Dewji, Mwenyekiti Nkwabi, Bodi nzima na wana Simba SC wote tuhakikishe CEO Magori anaendelea kuwa CEO Msimbazi

Mwekezaji Mo Dewji, Mwenyekiti Nkwabi, Bodi nzima na wana Simba SC wote tuhakikishe CEO Magori anaendelea kuwa CEO Msimbazi

Natambua kuwa Yeye kama Yeye alishasema kuwa anang'atuka hapo kama CEO baada ya Miezi Sita ili apatikane CEO mwingine na kama Simba SC itahitaji Mchango wake basi imtumie katika mambo makubwa na mazito hasa ya Kimaamuzi ambayo Yeye kwa Hadhi yake na Uzoefu wake mkubwa anadhani ataitendea Simba SC makubwa...
genta jikite kwenye zile mada zako za kuwasema walinzi wa rais.

mada zinazohusu siasa za mpira wa tz huwezani nazo.
 
Back
Top Bottom