Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Mambo ya simba yanakuhusu nini wewe shabiki wa kwasukwasu fc...timu lenu linashindia matikiti huko bigwa morogoroMagori huyo ni mbeba mikoba ya MO, alifukuzwa NSSF kwa ufisadi, anashirikiana na MO kuitapeli simba, zile pesa za CAF hazijulikani zimeenda wapi, aondoke mapema kabla hajaishia jela!
Mkuu wewe ni mgeni humu???hilo ni shabiki ombaomba fc wote tunalijua humuWatu wamewekeza pesa ili faida ipatikane na wai re-invest tena,kununua wachezaji wapya na kuendeshea club,we unauliza as if ulichangia,we kazi yako ni kushabikia team acheni uswahili kwenye mpira wa kisasa inakera sana,mpira wa kisasa ni biashara,,eti wanaitapeli,simba ilikuwa na Nini kabla ya mo?
Wewe shabiki wa kwasukwasu fc maswala ya pesa ya mwekezaji kuingizwa kwenye account ya simba yanakuhusu nini????...wewe inatakiwa uwaulize viongozi wako ni lini wachezaji wenu wataacha kushindia matikiti huko bigwa morogoroNi lini hela ya mwekezaji itaingizwa kwenye akaunti ya Simba kama ilivyokubaliwa kwenye Mkutano mkuu ?
Wapigaji wanajitengenezea njia hapoView attachment 1160714
Kwani unajua hati anayo nani?Anadai yy kama nani? Na pili why asidai na kuhoji pesa za usajili zinatoka wapi? Yy anadai bilioni 20 na hajui timu inalala wapi?
Kwani unajua hati anayo nani?
Anazo mwinyi zahera...mashabiki ya makwasukwasu bhana...yamekazania hatihati 😂 😂 😂 ...sasa hati za simba zinawahusu nini....wachezaji wenu wanagoma hawajalipwa wengine wanashindia matikiti huko bigwa morogoro nyie mmekazania hatihati...kwa taarifa yenu hao simba mnaowafuatilia timu yao ya wanawake wapo germany...wanaume wapo south...nyie mpo bigwa morogoro 😂 😂 😂...hati tumempa mwinyi zahera ili mfurahi vizuriKwani unajua hati anayo nani?
Acha majungu mkuu mafisadi wote wako mahakamaniMagori huyo ni mbeba mikoba ya MO, alifukuzwa NSSF kwa ufisadi, anashirikiana na MO kuitapeli simba, zile pesa za CAF hazijulikani zimeenda wapi, aondoke mapema kabla hajaishia jela!
😂😂😂 nacheka kama mazuri vile! Watu wanapigana vikumbo wakati mwenye hati ametulia tu.
Halafu anayemiliki hati ya timu si ndio mmiliki halali wa Simba SC!
Sijui itakuaje kwa mashabiki na wapenzi wa mpira siku mwenye timu akijulikana rasmi!
Sijui mashabiki na wapenzi wa Simba SC watajisikiaje kuona timu inahamishia makazi yake jijini Mwanza?
Yajayo yanafurahisha zaidi! Je, mko tayari?
😂😂😂 nacheka kama mazuri vile! Watu wanapigana vikumbo wakati mwenye hati ametulia tu.
Halafu anayemiliki hati ya timu si ndio mmiliki halali wa Simba SC!
Sijui itakuaje kwa mashabiki na wapenzi wa mpira siku mwenye timu akijulikana rasmi!
Sijui mashabiki na wapenzi wa Simba SC watajisikiaje kuona timu inahamishia makazi yake jijini Mwanza?
Teh! Ujue hiki anachojaribu kukifanya Mo Dewji kilishafanyika huko nyuma na kuna watu wana hati miliki za kila kitu.
Mo Dewji anafahamu hili kwa sababu kuna baba zake wadogo walishaongoza hii timu na waliwekwa na mtu fulani [...] ili kukwepa kesi ya uhujumu uchumi.
Huyu jamaa anafahamu ukweli wote, ndio maana anaulizia hati ili aweze kumiliki timu mazima.
Mkuu, usiumize kichwa, hao ndiyo wanaoitwa wapumbavu wenye hoja dhaifu za kubomoa maendeleo. Inakera sana.Nyie ndio mashabiki maandazi, mbona ujauliza pesa za usajili zimetoka wapi? Pesa za kambi five star hotel zinatoka wapi? Pesa ya pre season zinatoka wapi? Pesa za salary za wachezaji zinatoka wapi?
Ipo siku itasomeka namna hii....., muda tu ndo unasubiriwa.Matokeo ya mchezo wa ki rafiki ( pre season) View attachment 1160380
Jaza mwenyewe, kwetu haisumbui. Inakuhusu nini mpaka unaumia hivi? Subirini kubadilisha timu za kujiunga nazo, hiyo ndiyo kazi mnaiweza.kama yapi sasa , yaani unataka kutuhakikishia kwamba MO aliitapeli Simba ?
[emoji196] [emoji196] [emoji196] FC wanaamini and the like.Iv kunawatu wanahamini mzee uyo anaweza kuendeleza club
Huu sasa upopoma.[emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri vile! Watu wanapigana vikumbo wakati mwenye hati ametulia tu.
Halafu anayemiliki hati ya timu si ndio mmiliki halali wa Simba SC!
Sijui itakuaje kwa mashabiki na wapenzi wa mpira siku mwenye timu akijulikana rasmi!
Sijui mashabiki na wapenzi wa Simba SC watajisikiaje kuona timu inahamishia makazi yake jijini Mwanza.
Mimi pia ni mshabiki wa Simba SC, hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya burudani.
Haah! Mimi leo nimeamua kudokezea tu jamani! Kwani kesi inatoka wapi?
Hili pia ni jambo la kheri kwa kila shabiki wa timu kuona Simba SC inafanya vizuri kitaifa na kimataifa.
Watu wamegoma kwenda kambini, afu mko bize na hati ya simba.Teh! Ujue hiki anachojaribu kukifanya Mo Dewji kilishafanyika huko nyuma na kuna watu wana hati miliki za kila kitu.
Mo Dewji anafahamu hili kwa sababu kuna baba zake wadogo walishaongoza hii timu na waliwekwa na mtu fulani [...] ili kukwepa kesi ya uhujumu uchumi.
Huyu jamaa anafahamu ukweli wote, ndio maana anaulizia hati ili aweze kumiliki timu mazima.