GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu.
Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu pendwa ya Simba na kama Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) hatoingiliwa na kupewa Sapoti zaidi na Matajiri wa Yanga SC nisiwe Mnafiki GENTAMYCINE naiona Yanga SC kufanikiwa kote kote katika Mpira na Maendeleo yake Kiujumla.
Kuelekea Mechi ( Derby ) na Yanga SC tarehe 23 Oktoba, 2022 baadae nitakuja na ANGALIZO kwani tayari pia nimeshapenyezewa Mkakati wa Kuisaliti Simba SC kupitia Viongozi Waandamizi Watatu na Wachezaji Sita na Wawili wa Kigeni.
Mo Dewji jitokeze sema chochote.