Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Wewe umejiita jina la Simba wakati ni Utopolo Og?Sisi ndio tupo jikoni huku Hali sio shwari kabisa ndugu zangu Wana Lunyasi.. unaambiwa ni kuwa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umejiita jina la Simba wakati ni Utopolo Og?Sisi ndio tupo jikoni huku Hali sio shwari kabisa ndugu zangu Wana Lunyasi.. unaambiwa ni kuwa....
We jamaa unashangaza kweli kweli. Wewe mwenyewe hujui kuna shida gani ila unataka MO aseme neno. Watu kama nyie mmeigeuza JF kuwa kijiwe cha kahawa.Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu.
Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu pendwa ya Simba na kama Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) hatoingiliwa na kupewa Sapoti zaidi na Matajiri wa Yanga SC nisiwe Mnafiki GENTAMYCINE naiona Yanga SC kufanikiwa kote kote katika Mpira na Maendeleo yake Kiujumla.
Kuelekea Mechi ( Derby ) na Yanga SC tarehe 23 Oktoba, 2022 baadae nitakuja na ANGALIZO kwani tayari pia nimeshapenyezewa Mkakati wa Kuisaliti Simba SC kupitia Viongozi Waandamizi Watatu na Wachezaji Sita na Wawili wa Kigeni.
Mo Dewji jitokeze sema chochote.
Wewe na huyo popoma ni nani ni makolo zaidi unahisi?We jamaa bwana,kutwa kuiombea mabaya Simba, fuatilia mambo yenu ya huko utopolo kaka
Watched tu watazinduka mda umeenda sanaWewe na huyo popoma ni nani ni makolo zaidi unahisi?
Shida yenu huwa mtu yoyote akiwaambia ukweli mnakimbilia kumwambia yeye ni Yanga
Simba imefeli ndani na nje ya uwanja, me Simba ila naiona Yanga ikifanya vzr kitaifa na kimataifa kwa miaka 10 mfululizo.Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu.
Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu pendwa ya Simba na kama Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) hatoingiliwa na kupewa Sapoti zaidi na Matajiri wa Yanga SC nisiwe Mnafiki GENTAMYCINE naiona Yanga SC kufanikiwa kote kote katika Mpira na Maendeleo yake Kiujumla.
Kuelekea Mechi ( Derby ) na Yanga SC tarehe 23 Oktoba, 2022 baadae nitakuja na ANGALIZO kwani tayari pia nimeshapenyezewa Mkakati wa Kuisaliti Simba SC kupitia Viongozi Waandamizi Watatu na Wachezaji Sita na Wawili wa Kigeni.
Mo Dewji jitokeze sema chochote.
Halafu alivyo na jeuri sasa! Hiyo keshokutwa pale Mlimani City tutawashuhudia mpaka wale mabondia wa kutokea pande za Bombay!MUwekezaji kapeleka pesa kwa mandonga (mo boxing 🥊)
Nyie si mnajifanya kuhoji bilioni zipo wapi? Mara bilionea uchwara mara ana nufaika zaidi kuliko simba
Mo ni mfanyabiashara na ana angalia fursa ilipo na fursa hiyo lazima aiendeleze ili iendelee kumpa pesa Au kumlipa ata kama mwanzo I ata pata hasara
Lakini mashabiki ambao kazi porojo hawaingizi hata kumi ktk klabu ndio wajuaji na wakatishaji tamaa wawekezaji na kuamua kuingiza pesa ktk michezo mingine isiyo na kelele
Mjifunze kuwa heshimu wawekezaji wenu na pia kuchangia maendeleo ktk taasisi zenu na serikali zenu (nchi) sio kutaka vya bure wakati Hampo tayari kuchangia hata mia
[emoji1787][emoji1787] Wazee wa tuachie Simba yetu waje hapa watoe povu...Ngoja tuone wapiga kelele watasemaje, maana walisema anaingilia timu. Kawaachia timu mmeshindwa iendesha sababu ya uswahili wenu..
MO ana hisa ndogo iweje kujitoa kwake Simba iyumbe? Kwanini wenye 51% wasiendeshe timu?
Interllectual ,giffited , knowledgeable person ,christmatic fella,well informedGENTAMYCINE [emoji3595] MINOCYCLINE [emoji3596] what a sub
Wewe kijana tulia umezaliwa mwaka juzi tu hapa naleo unakuja pigana na watu na umri zaoKajifunze kwanza kuandika vizuri kisha ndio uje humu jukwaani kumwaga upupu wako
kaka viongozi wetu hovyo sana si umeona mo kahamia kwenye boxing?Yaweza kuwa Mimi ni mzazi wako