Mwekezaji Mo Dewji please Say something hali si Shwari ndani ya Simba SC kama tunavyolazimishwa Kuamini

We jamaa unashangaza kweli kweli. Wewe mwenyewe hujui kuna shida gani ila unataka MO aseme neno. Watu kama nyie mmeigeuza JF kuwa kijiwe cha kahawa.
 
Wewe na huyo popoma ni nani ni makolo zaidi unahisi?

Shida yenu huwa mtu yoyote akiwaambia ukweli mnakimbilia kumwambia yeye ni Yanga
Watched tu watazinduka mda umeenda sana
 
Simba imefeli ndani na nje ya uwanja, me Simba ila naiona Yanga ikifanya vzr kitaifa na kimataifa kwa miaka 10 mfululizo.
 
Halafu alivyo na jeuri sasa! Hiyo keshokutwa pale Mlimani City tutawashuhudia mpaka wale mabondia wa kutokea pande za Bombay!

Yaani siku hiyo itakuwa ni burudani tu!
 
Kwa simba jaribu kuona mbali Sisi hatujali mechi za kuchezeshwa na watoto Yanga ni timu ya kitoto na changa ina masharobaro tu ila kucheza nje ya nchi wanafungwa wanawalipa Simba ili wasipoteze mashabiki.

Simba ni timu inaenda kasi kiligi nje ya nchi tuje tena ndani ya nchi kujitutumua kisa Yanga hama tu nenda timu ya hovyo tena nitafurahi mkipungua tu .

Simba tu tunaishangilia timu yetu na inatuwakilisha kimataifa yanga ni timu ovyo tokea miaka ya nyuma hadi sasa .

Tumewashinda natumewaachia makombe ya kitoto wayajaze ofisini mwao.

Hadi manara yule cheusi wetu kaikana Yanga huoni ilivyo ovyoo siwezi shangilia timu ya mazingira wasubirie ccm chichiem yetu ishinde tena Yanga ni kama Chadema never grow never be a winner natumezoea sintosahau chadema waliposhindwa 2010 walahi nilizima sikudanganyi 2015 sijui nilizimika tena saivi nipo chichiem nanitakuwa chichiem hadi nizeeke nikiwa chichiem siye wakina chichiem tutawaazima jezi zenu kipindi cha uchaguzi
 
Wanachama wenye 51 hisa wana shindwa endesha timu na kumlilia mwenye 49???
 
Ngoja tuone wapiga kelele watasemaje, maana walisema anaingilia timu. Kawaachia timu mmeshindwa iendesha sababu ya uswahili wenu..

MO ana hisa ndogo iweje kujitoa kwake Simba iyumbe? Kwanini wenye 51% wasiendeshe timu?
 
Don't be surprised the person behind Singida Big Stars ni Mo
 
Ngoja tuone wapiga kelele watasemaje, maana walisema anaingilia timu. Kawaachia timu mmeshindwa iendesha sababu ya uswahili wenu..

MO ana hisa ndogo iweje kujitoa kwake Simba iyumbe? Kwanini wenye 51% wasiendeshe timu?
[emoji1787][emoji1787] Wazee wa tuachie Simba yetu waje hapa watoe povu...

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Naona tayari watu wameshaanza mkakati wa kutafuta visingizio vya kupoteza mechi ya October 23, waswahili shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…