GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng"ambi na Wachezaji akina Mkude, Kipa Manula, Beki Kapombe na Kiungo Chama naomba kabla ya Simba Day na Kuanza rasmi kwa Msimu kufanyike Tambiko Kubwa pale Klabuni Msimbazi la Kulishana Yamini, Kukubaliana kutoisaliti Simba SC na Kuwalinda Wachezaji wetu dhidi ya Mabaya na Maadui na kwamba mwana Simba SC yoyote hadi Mchezaji yoyote akienda Kinyume Umauti umkute.
Ni wale Watu tu wa Mpira ndiyo watanielewa hapa GENTAMYCINE na kile ninachokimaanisha hasa kwakuwa Wengine ni Wakongwe, tunajua Utamaduni wa Simba SC yetu na tumeshajitoa Muhanga mpaka Kuhatarisha Maisha yetu kwa ajili ya Simba SC ambayo naipenda hakuna mfano.
Likifanyika hili nitashukuru mno Dewji.