fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Habari zenu wakuu,
Katika chambua chambua yangu katika pages mbali mbali za internate, nimekuja kugundua kuwa Dunia yetu inaongozwa na group fulani la watu wanaojiita "High masters" chini ya mtu/ roho inayojiita "'The one who from heaven to earth came. Chini ya mtu huyu ndipo vikundi mbalimbali vinavyojiniabisha kama secret societies huzaliwa mfano Illuminati, freemasonry etc.
Watu hao ndio wanaoongoza kwa utajiri mkubwa hapa duniani;
Ndio wanaomiliki Science and very advanced technology
Ndio wanaofanya inventions and discoveries mbali mbali hapa duniani na in the universe at large
Ndio wanaomiliki knowledge ya dunia hii na kudesign aina za elimu ambazo umma wa dunia hii wapaswa kufahamu. Yote tuyafahamuyo katika Physics, astronomy, biology na elimu zingine wao ndio wanaozipangilia na kutujulisha sisi binadamu.
Ndio wanaozi fund taasisi mbali mbali kufanya tafiti mbalimbali za kitabibu na kuzalisha magonjwa kwa makusudi yao ya ku control population duniani na ndio hao hao hugundua dawa za magonjwa hayo kwa mgongo wa kutoa misaada katika nchi zilizo athirika kwa magonjwa waliyoabuni wenyewe. Makampuni yao hufaidika kwa kuingiza billions of dollars kwa kuuza madawa ya magonjwa hayo na hata kuingia mikataba ya kuchukua rasilimali katika nchi zilizoathirika kwa mgongo wa misaada ya madaktari na dawa kwa magonjwa hayo.
Ndio huchagua viongozi wa mataifa makubwa duniani kwa mgongo wa Demokrasia ili kuwaaminisha wananchi kuwa they are practicing their freedom of choice while viongozi waliosimamishwa wote ni watu watu wao na wameapa kulinda maslahi ya hiko kikundi.
Huunda vikundi mbalimbali na vya uasi katika nchi ambazo want aka wazitawale na kuingiza sera zao hapo hapo wakifaidika kwa kuuza siraha kwa groups zigombanazo na kuwatoa viongozi ambao wanaonekana ni viburi katika kutimiza azma zao na kuwaweka viongozi wawatakao( puppet leaders). Muda mwingine wapo tayari hata kuivamia nchi fulani kijeshi kwasababu zitakazokuwa wamezisambaza na kuwaaminisha Watusi kupitia Media zao. They own media to propagandize what they want, for their own reasons at a particular time.
Ndio hufanya maamuzi ya dunia yetu kupitia mataifa makubwa na taasisi kubwa duniani kama United Nations; Depopulation strategies, controlling of world market and resources distribution etc.
Huwalipa watu kwa earthly things Mali, fedha na kuwapa majina makubwa duniani na kuwafanya kuwa maarufu as long as wanafanya Yale ambayo watu hawa wanayataka. Kwa mfano they have been financing Western movie and music industries ili kuelezea na kuzitangaza sera zao. Ili uwe na pesa na utajili mkubwa you must sell you soul to the devil ili wasimamie kazi zako za kimziki na muvi kwa mkataba na wao.
Wao ndio waliounda sera ya New World Order na sasa wameshaanza kuyatimiza yote yaliyomo kwenye hiyo sera kuelekea kuwa na serikali moja na dini moja.Ni mengi sana wanayoyafanya hawa watu wanaojiita the high Masters na nadhani wengine wataendelea kuchangia wanayoyajua kuhusiana na yote yanayoendelea sasa chanzo kikiwa ni wao.
Tunaweza pitia The Secret Covenant - A Member of the Illuminati Tells All? kujifunza zaidi.
Cc monstagala, Eiyer, christine ibrahim, Cybertec, MziziMkavu,,Rakism, Kipaji Halisi, Mwekundu, Annuity, Sikonge, kaka, PATIENT ZERO Pasco Nyunyu Mwanafalsafa1