kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Hata Paulo naye amesema katika barua yake aliyowapelekea Warumi:
Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.
Warumi 8.14
Kwa Hivyo WAKRISTO tusiseme UONGO kwa kumuita Yesu mwana wa Mungu WA PEKEE bali Sisi wote Ni wana Wa MUNGU.