Mwenda Tezi na Omo marejeo Ngamani-TEC Wameelewa,Bado nani Hajaelewa?

Kwanza kabisa, sijakataza uhuru wa maoni.

This is a strawman argument logical fallacy.

Ila katika uhuru wa maoni (ambao unaruhusiwa, ndiyo maana sijaripoti kwa mods topic ifutwe) maoni yako yanaweza kuwa ya kijinga.

Na sisi tuna uhuru wa kusema "unaruhusiwa kutoa maoni, ila haya maoni ni ya kijinga".

Kwanza kama maoni tu, lakini pia objectively kama facts.

Kabla hujaelewa au ku engage logically na objectively na nilichokisema, unarudia tatizo lako lile lile la ku prioritize maoni yako kwa kunisema nanyumbuka kwa sababu sijakubaliana nawe tu.

Kusisitiza uhuru wako wa maoni bila kuangalia objective facts ni weakness.

Ni kama unasema kuwa huna uwezo wa kuchambua vitu objecyively, unakimbikia kusisitiza haki yako ya kutoa maoni.

Kama vile hujui kuwa "opinions are like asses, everyone has one".

Na haya si maoni yangu, hizi ni facts.
 
Asante sana Mkuu. Yaani mtoa mada ni wa ahabu sana. Asifikiri wote ni kama yeye.

Yaani upande uliosababisha matatizo makubwa kwenye nchi yetu wao wasiwajibike kwa maafa waliotuletea kwenye taifa letu. Msimamo ni ule ule iundwe Kamati itakayosimamia serikali ya mpito, tupate katiba mpya kisha turudi kwenye uchaguzi tupate viongozi halali waliochaguliwa na wananchi. Vinginevyo ccm iendelee kutawala kimabavu hadi pale watakapoamua vinginevyo. Hatutaki maigizo.
 
Mhhhh, ccm wameshikwa makende, ndani na nje,jumuiya ya kimataifa,pa kutokea hakuna,
alichokisema Kitima, ni, makubaliano ili ionekane kanisa ndio limeomba kumuona Samia, for what! Let's assume we maintain the status quo! Kanisa, halina cha kupoteza, halidaiwi Kodi, haliombi ma tangazo ya biashara serikalini,wakatolic wana pesa kuliko Africa nzima! Ccm ndio imeomba kanisa lisaidie kuweka Mambo sawa, kuwa mpatanishi!, (Lisu ni mkatolic),
hii kusema "Sisi kanisa ndio tumeomba tukutane na Samia" Ni ku save face tu kwa ccm, waondoke japo na kaheshima kidogo, yaani Samia awe bize! Kwa lipi? Kizimkazi festival!
 
 
Nazi haishindani na Jiwe.. Ni kweli.!

Ila sipendi mtu anahisi October 29 ni tatizo baya tena anapiga vuvuzela.! Huu ni zaidi ya ushenzi.!

Tuheshimu mamlaka.. hakuna malaika Duniani
 
Heche
 
Umeeleza vizuri,ila kasema Dr kakosa kusema wao Ndio waliomba kukutana Na Raisi Ikulu SI jambo geni,aseme kinyume?
 
Anaenda kama haendi!
 
Ipo hivi Kuna siku kitima alisema nchi Ina corona na alimchana jpm makavu mwisho wa siku jpm alisepa sasa nadhani baada ya hapo mtaona kinatokea nn?mara nyingi hawa maskofu inapofikia hatua wanakua soft basi jua kuna jambo linakuja,
 
Naomba neno suala usiliandike swala.
 
Well, ashaapishwa na kuchukua madaraka je kitima alipaswa amuiteje? Lissu anamuita rais, heche na wengine. Usipoita haisaidii kitu, pia umemsikliza kitima leo DW? Ukimsikiliza utaelewa msimamo upo palepale
 
..serikali ionyeshe njia.

..ukamataji usitishwe.

..mahabusu wote waachiliwe.

..waliopotezwa wapatikane.

..walioathirika walipwe fidia.

..wapinzani waende kwenye meza kujadili Tume Huru, na Katiba.
Sijaona kuwajibishwa kwa aliyetoa order ya shoot to kill na washirika wa maovu yote
 

Ndio ukweli wenyewe. Kumkwepa ni kujidanganya nafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…