Mwenda Tezi na Omo marejeo Ngamani-TEC Wameelewa,Bado nani Hajaelewa?

Kwani taifa limeugua lini hadi lihitaji uponyaji?
 
Mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani.
Umemaliza
Halafu alivyotoka hapo akaanza kubwabwaja, akaulizwa na mwadishi, Je umeyangolea haya kwenye huo mkutano wenu, akaruka ooohh huu ni mwendelezo, upuuzi mtupu
Kwa nini anachobwabwaja hajakiongelea on the spot ?
 
Katibu mkuu wa TEC na m/kiti wa CHADEMA wabadilishwe kwa ajili ya maridhiano Ila m/kiti wa CCM aliyeua watu abaki yuleyule? Wewe ni mpumbavu.
 
Ili tutoke hapa ni lazima tukiri yafuatayo
1. Kuliluwa na udanganyifu kwenye. uchaguzi.
2. Kuwa majority ya watanzania wamepoteza interest kwenye box la kura na hivyo viongozi wapo kwa mujibu wa sheria na sio matakwa ya watu kupitia sanduku la kura
3.Kuwa kuna ukandamizaji wa haki za za raia na mifumo ya utawala bora imeparanganyika.
4. Vurugu za October 29 kiini chake ni mambo ya uchaguzi na kasoro zilipaswa kushughulikiwa kabla ya uchaguzi lakini kwa kiburi tuliforce bila kuzingatia moyo wa katibu kuwa mamlaka yote yatatoka kwa wananchi.
5.Tukubali kuwa kulikuwa na vurugu ndio lakini watu wasio na silaha za moto waliuawa kwa silaha za moto na nguvu iliyotumika haikuendana ukizingatia kuwa wengi waliuawa nje ya ulingo au maeneo ya vurugu.
5.Mwisho tukiri Demokrasia Tanzania imepigwa shoti ndani vyama hususani chama tawala hadi kwenye levo ya nchi

Hivyo ni muhimu tutoke hapa maana tuendako ni kugumu na hatari zaidi.
 
..Na asipowatosa watazidi kumharibia, na mwisho wake wote tutazama.

..huenda kabla ya Oct 29 alikuwa anawaza hivyo unavyosema wewe kuwa akiwatosa hatakuwa salama.

..sasa angalia walivyokuja kumharibia.
Mimi nichokiona ni wananchi na wanaharakati kurndelea na mapambano
 
Hao ndiyo wana maarifa, taarifa, na uzoefu wa wanacho hubiri au kukipambania.
Wapo katika nafasi nzuri kuwaongoza watu wa pande zote za huu mgogoro.

Maarifa yapi wamekibomoa chama na mtaji wake

Chini ya mzee mbowe chama kingeitisha uchangiaji 👈

leo fahamu pesa ingeshapatikana kitambo

Chini ya Mzee Mbowe alijua kulinda rasilimali watu ndani ya CHADEMA

Chini ya uhongozi mpya wa Tundu Lissu miez michache tu vijana wa Chadema mia 400 wameuwawa baada ya uhongozi mpya kuwaelekeza kwenye mapambano ya kuzuiya Uchaguzi👈

Leo naandika aya Lissu yupo Lupango

lkn kuna familia nyingi zinaugulia kuwapoteza wapendwa wao fikiria Vifo 500+
Lkn fikiria jambo la kushangaza zaidi yani yumkin mwenyekiti angekuwa mzee Mbowe tu familia 500 + zisingepitia na maumivu aya leo wakonayo 👈

ni masikitiko makubwa kushindwa kwa Mzee mbowe pale Chadema gharama yake wameenda kulipia familia zaid 500+✍️
 
Wausika wa vile ni wenye kufanya alakati
Sababu izi mbili
Moja D9 hakuna kifo lkn pia hakuna Uchomaji umefanyika hakuna maandamano

7+7 hakuna kifo kimetokea hakuna pia maandamano wala
Uchomaji 👈

JE kwanini tusiamini vile Vifo vimetokana na alakati za hii Chadema mpya yenyewe✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…