Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Japokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na wengineo......rest in pease magufuri tutakukumbuka kwa ukabila.