Mwendazake alikuwa ni rais alieendekeza ukabila sana

Mwendazake alikuwa ni rais alieendekeza ukabila sana

Jifunze utu,
Jifunze kupotezea mambo,

Jaribu kuishi kiume kama ni mwanaume lakini

Pambana na maisha mengine yanayokuja ili kusahau ya nyuma .

Jaribu kuishi kwa kutegea misingi na mipango yako, na watumie watu na nafasi zao wakiwa hai.
Nasisitiza watumie siyo uwategemee.

Magufuli akiwa kwenye wizara ya ujenzi alikuwa rafiki yangu, na ndiye aliyemshawishi Engineer Mfugale anipenyeze kwenye michongo yake. lakini juu ya yote sijawahi kukubali staili ya uongozi wake.

Hata alipochukua fomu ya kugombea urais Mimi moyo ulinienda mbio sana kwani nilichowaza ndicho kilichotokea.

Yote kwa yote sijawahi kumtegemea mtu kwenye maisha yangu, Bali hutumia watu kulingana na wakati, mazingira na mipango husika.

Natamani nikwambie mengi ila muda sina
Karibu pm mkuu kama hutojali
 
Japokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na wengineo......rest in pease magufuri tutakukumbuka kwa ukabila.
Wewe ni mjinga
Screenshot_2023-06-05-22-02-53-584_com.transsion.phoenix.jpg
tu! Wasukuma hata kwenye list ya leo ya waajiriwa katika ajira za uwalimu bado ni wengi angalia list ya jina SHIJA kwenye PDF ya leo wa walioitwa kwenye ajira na hilo ni jina moja tu!
Wasukuma watakutoa roho mpumbavu wewe!
 
Vipi kuhusu wazanzibari kujazwa maofisini ilihali hawana sifa za kielimu awamu ya 6. Huu nao sio ukabila?
 
Japokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na wengineo......rest in pease magufuri tutakukumbuka kwa ukabila.
Na pdf ya leo haumo nalo ni kosa la magufuli kuendekeza ukabila.
 
Back
Top Bottom