Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Haujui kuandika...Japokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na wengineo......rest in pease magufuri tutakukumbuka kwa ukabila.
Wajinga ni wengi nchi hii,mmoja wapo ni weweJapokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na wengineo......rest in pease magufuri tutakukumbuka kwa ukabila.
Muhimu ujumbe ufike
Wajinga ni wengi nchi hii,mmoja wapo ni wewe
Sema baba semaJifunze utu,
Jifunze kupotezea mambo,
Jaribu kuishi kiume kama ni mwanaume lakini
Pambana na maisha mengine yanayokuja ili kusahau ya nyuma .
Jaribu kuishi kwa kutegea misingi na mipango yako, na watumie watu na nafasi zao wakiwa hai.
Nasisitiza watumie siyo uwategemee.
Magufuli akiwa kwenye wizara ya ujenzi alikuwa rafiki yangu, na ndiye aliyemshawishi Engineer Mfugale anipenyeze kwenye michongo yake. lakini juu ya yote sijawahi kukubali staili ya uongozi wake.
Hata alipochukua fomu ya kugombea urais Mimi moyo ulinienda mbio sana kwani nilichowaza ndicho kilichotokea.
Yote kwa yote sijawahi kumtegemea mtu kwenye maisha yangu, Bali hutumia watu kulingana na wakati, mazingira na mipango husika.
Natamani nikwambie mengi ila muda sina
Ujumbe upi...?! na nani anapelekewa ujumbe...?!Muhimu ujumbe ufike
Kweli?Hakuna mvivu, mpigaji, mlarushwa na tapeli na mwenye maisha ya kuishi kijanja kijanja kutegemea madili ambaye angelikubali jembe, hapa kazi tu
Endelea kusugua bench kwanza, acha kubishanaJapokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa
Funguka.Jifunze utu,