Mwendazake alikuwa ni rais alieendekeza ukabila sana

Karibu pm mkuu kama hutojali
 
Wewe ni mjinga tu! Wasukuma hata kwenye list ya leo ya waajiriwa katika ajira za uwalimu bado ni wengi angalia list ya jina SHIJA kwenye PDF ya leo wa walioitwa kwenye ajira na hilo ni jina moja tu!
Wasukuma watakutoa roho mpumbavu wewe!
 
Vipi kuhusu wazanzibari kujazwa maofisini ilihali hawana sifa za kielimu awamu ya 6. Huu nao sio ukabila?
 
Na pdf ya leo haumo nalo ni kosa la magufuli kuendekeza ukabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…