Haha mnataka mrudi on top?Acha tu, ina maana mnajulikana ulimwengu mzima, jua lilivyopatika huko.
Kikao cha dharura cha wasukuma muhimu.
Haiwezekani mturudi kwa pose za picha na kupatwa kwa jua.
Niambie tu mtani, yani nisingetajwa na wewe ningeenda baharini nikaoge.
Mkuu tusubiri second selection.dah! mi ndiyo sitajwi! FaizaFoxy hata wewe?
Au Naapee!?[emoji3] [emoji125] .Mie namjua kwa jina halisi naogopa kumtaja ni muheshimiwa flani hivi
Hahaha jamani watu mna maneno, eti 2nd selection kwi kwi kwiMkuu tusubiri second selection.
mi kuna mmoja natamani kumtaja ila mmmh ntapigwa mawe.
Itabidi tumuombe mh.raisi afanye kanamna angalau hata nyota tu ipatikane kwenu.Mmetuzidi kweli, mpaka jua limepatikana kwenu? Itabidi tujipange upya asee.
At least mwezi na nyota vipatikane kwetu, hata kwa kufoji. Mbona tutawarudi kwa mapicha!
Cc atoto
Haha mnataka mrudi on top?
Itabidi tumuombe mh.raisi afanye kanamna angalau hata nyota tu ipatikane kwenu.
Hivi hata kile kimondo si kiliangukaga kwao!!!
Haki liviktoria linahusika!Acha tu, muhimu..
Asee, kumbe hata kimondo tulikosa? Itabidi tukaoge kwenye Li viktoria!
Dah we acha tu alishndwa kumalizia tu "i lv u too braza"Ha ha ha ha... Tunasemaga "imekula kwako" atoto kamtaja mwingineee...
Uliyemzimia jana, naye aliku reply "I love you too"
Lakini leo kathibitisha kuwa "alikuwa anakusuuza moyo kwa muda"
Huu mchezo hautaki hasira.
Mimi bado nipo nipo kwanza....
Beee,,....,no i mean naaaam atoto
Utakua uemetajwa kuleeeee kwa wanaume wabaya jfNimepitia kwa umakini zaidi ya mara 5 kutafuta nomino yangu sijaiona,ngoja nikate rufaa siez subiri 2nd selection[emoji1] [emoji1] [emoji1]