Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Mleta post una roho ngumu ! nimekwambiaje fanya nilivokwambia.
[emoji85][emoji85][emoji85]bahati zingine hizi..kapost kako kalijifichaaa katikati [emoji8] [emoji8]
 
Acha tu, ina maana mnajulikana ulimwengu mzima, jua lilivyopatika huko.
Kikao cha dharura cha wasukuma muhimu.
Haiwezekani mturudi kwa pose za picha na kupatwa kwa jua.
Haha mnataka mrudi on top?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Nimepitia kwa umakini zaidi ya mara 5 kutafuta nomino yangu sijaiona,ngoja nikate rufaa siez subiri 2nd selection[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mmetuzidi kweli, mpaka jua limepatikana kwenu? Itabidi tujipange upya asee.
At least mwezi na nyota vipatikane kwetu, hata kwa kufoji. Mbona tutawarudi kwa mapicha!

Cc atoto
Itabidi tumuombe mh.raisi afanye kanamna angalau hata nyota tu ipatikane kwenu.
Hivi hata kile kimondo si kiliangukaga kwao!!!
 
Ha ha ha ha... Tunasemaga "imekula kwako" atoto kamtaja mwingineee...

Uliyemzimia jana, naye aliku reply "I love you too"
Lakini leo kathibitisha kuwa "alikuwa anakusuuza moyo kwa muda"

Huu mchezo hautaki hasira.

Mimi bado nipo nipo kwanza....
Dah we acha tu alishndwa kumalizia tu "i lv u too braza"
 
Mi sijatajwa[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Wadada wanaroho maya kama mafuta ya bunduki
 
Back
Top Bottom