Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Kaka ni hatua muhim sana.
Mimi nasubiria unajua shem lako lina mimba soon tutapata mtoto wa kike, basi linasumbua kwelikweli
Cc PATIENCE123
Duuh hiyo mimba imeingia lini si amezaa juz tu hapa....mweeeer!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hii nayo mpya staki kuamini.. labda kama ingekuwa mtu akitajwa analipwa na hela
 
Duuh hiyo mimba imeingia lini si amezaa juz tu hapa....mweeeer!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabia ya umbea ndio inatukosanisha...nilikua najianda kusema neno kwako sasa bathiii
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
Sio mimi mkuu,tafadhali sana[emoji23] [emoji23]
 
Tabia ya umbea ndio inatukosanisha...nilikua najianda kusema neno kwako sasa bathiii
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
Aku sina haja...Superior ameshayasema yote yananitosha!!
 
Ndio mpaka uje unianike jamvin dah 🙁
 
Kwanza sija disclose privacy ya mtu.
Pili ving'ang'anizi wengi mnamaliza ila bado anaendelea kudisturb.
Mwisho hata kama ni kuchati, mawazo ya mtu yaheshimiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…