Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera sana. Tunasubiria huyo mtoto
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera sana. Tunasubiria huyo mtoto
Duuh hiyo mimba imeingia lini si amezaa juz tu hapa....mweeeer!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka ni hatua muhim sana.
Mimi nasubiria unajua shem lako lina mimba soon tutapata mtoto wa kike, basi linasumbua kwelikweli
Cc PATIENCE123
hii nayo mpya staki kuamini.. labda kama ingekuwa mtu akitajwa analipwa na helaJamani baadhi wanaume wa Jf ebu kuweni na mishipa ya aibu! yaani mtu anakujia PM anaomba nije nimtaje humu? seriously?....unapata faida gani mimi kukutaja humu then mtu ninayemzimia ni mwingine kabisa? kuna faida gani mimi kukutag hapa ili hali kwanzia akili, moyo hadi kidinyio changu vimetekwa na mwanaume mwingine? unataka nikudanganye?....sijazoea kudanganya but am completely bored!!!
Akiwa house boy atafaidi vya bos.Ila ukubali kuwa 'house boy' maana washika pembe wamepatikana zaidi ya watatu.. Nafasi iliyobaki ndio hiyo ya house boy
Tabia ya umbea ndio inatukosanisha...nilikua najianda kusema neno kwako sasa bathiiiDuuh hiyo mimba imeingia lini si amezaa juz tu hapa....mweeeer!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh...hayaWivu ni sehemu ya mapenzi, ciwez kuta mpenz wangu anapigwa busu ati nicheke....msumari wa kalio utamhusu mtu
Sio mimi mkuu,tafadhali sana[emoji23] [emoji23]Jamani baadhi wanaume wa Jf ebu kuweni na mishipa ya aibu! yaani mtu anakujia PM anaomba nije nimtaje humu? seriously?....unapata faida gani mimi kukutaja humu then mtu ninayemzimia ni mwingine kabisa? kuna faida gani mimi kukutag hapa ili hali kwanzia akili, moyo hadi kidinyio changu vimetekwa na mwanaume mwingine? unataka nikudanganye?....sijazoea kudanganya but am completely bored!!!
Kuna mashaka makubwahii nayo mpya staki kuamini.. labda kama ingekuwa mtu akitajwa analipwa na hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh...haya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio mimi mkuu,tafadhali sana[emoji23] [emoji23]
Aku sina haja...Superior ameshayasema yote yananitosha!!Tabia ya umbea ndio inatukosanisha...nilikua najianda kusema neno kwako sasa bathiii
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
Hahahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aku sina haja...Superior ameshayasema yote yananitosha!!
Ndio mpaka uje unianike jamvin dah 🙁Jamani baadhi wanaume wa Jf ebu kuweni na mishipa ya aibu! yaani mtu anakujia PM anaomba nije nimtaje humu? seriously?....unapata faida gani mimi kukutaja humu then mtu ninayemzimia ni mwingine kabisa? kuna faida gani mimi kukutag hapa ili hali kwanzia akili, moyo hadi kidinyio changu vimetekwa na mwanaume mwingine? unataka nikudanganye?....sijazoea kudanganya but am completely bored!!!
Kwanza sija disclose privacy ya mtu.Mjumbe wa amani au walisahau kukutaja kuleee...
Lakin sioni kama wanakosea labda wanakuzimia
Je ni kosa kupendwa?
Inatosha kumwambia asante na yakaishia hukohuko pm
Sheria za jf zinatutaka kutosema chochote cha pm jukwaani
VILEVILE chitchat haina usiriazi wowote mkuu, naona unabeba mambo kwa uzito...
Pole sana
inawezekana mkuuKuna mashaka makubwa
Cc mjumbe wa amani anataka kuwa mjumbe wa fujo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sweetiepie Unajua nilikuwa nasubiria mualiko wako, sasa nimekutafuta humu sijakuona nikasema enheee kidume nimetoswaHahahaha nakukubali Stunter
Its uncanny but imetokea.hii nayo mpya staki kuamini.. labda kama ingekuwa mtu akitajwa analipwa na hela
Duuuh mkuu acha uvamizi wa viwanja vya waziSweetiepie Unajua nilikuwa nasubiria mualiko wako, sasa nimekutafuta humu sijakuona nikasema enheee kidume nimetoswa
Usiogope mkuu, I wont disclose it....no matter anyhow, si unajua rules za JF.Sio mimi mkuu,tafadhali sana[emoji23] [emoji23]
Siyo wewe!Ndio mpaka uje unianike jamvin dah 🙁