Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Jamani baadhi wanaume wa Jf ebu kuweni na mishipa ya aibu! yaani mtu anakujia PM anaomba nije nimtaje humu? seriously?....unapata faida gani mimi kukutaja humu then mtu ninayemzimia ni mwingine kabisa? kuna faida gani mimi kukutag hapa ili hali kwanzia akili, moyo hadi kidinyio changu vimetekwa na mwanaume mwingine? unataka nikudanganye?....sijazoea kudanganya but am completely bored!!!
hii nayo mpya staki kuamini.. labda kama ingekuwa mtu akitajwa analipwa na hela
 
Duuh hiyo mimba imeingia lini si amezaa juz tu hapa....mweeeer!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabia ya umbea ndio inatukosanisha...nilikua najianda kusema neno kwako sasa bathiii
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
 
Jamani baadhi wanaume wa Jf ebu kuweni na mishipa ya aibu! yaani mtu anakujia PM anaomba nije nimtaje humu? seriously?....unapata faida gani mimi kukutaja humu then mtu ninayemzimia ni mwingine kabisa? kuna faida gani mimi kukutag hapa ili hali kwanzia akili, moyo hadi kidinyio changu vimetekwa na mwanaume mwingine? unataka nikudanganye?....sijazoea kudanganya but am completely bored!!!
Sio mimi mkuu,tafadhali sana[emoji23] [emoji23]
 
Tabia ya umbea ndio inatukosanisha...nilikua najianda kusema neno kwako sasa bathiii
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
Aku sina haja...Superior ameshayasema yote yananitosha!!
 
Jamani baadhi wanaume wa Jf ebu kuweni na mishipa ya aibu! yaani mtu anakujia PM anaomba nije nimtaje humu? seriously?....unapata faida gani mimi kukutaja humu then mtu ninayemzimia ni mwingine kabisa? kuna faida gani mimi kukutag hapa ili hali kwanzia akili, moyo hadi kidinyio changu vimetekwa na mwanaume mwingine? unataka nikudanganye?....sijazoea kudanganya but am completely bored!!!
Ndio mpaka uje unianike jamvin dah 🙁
 
Mjumbe wa amani au walisahau kukutaja kuleee...
Lakin sioni kama wanakosea labda wanakuzimia
Je ni kosa kupendwa?
Inatosha kumwambia asante na yakaishia hukohuko pm
Sheria za jf zinatutaka kutosema chochote cha pm jukwaani
VILEVILE chitchat haina usiriazi wowote mkuu, naona unabeba mambo kwa uzito...
Pole sana
Kwanza sija disclose privacy ya mtu.
Pili ving'ang'anizi wengi mnamaliza ila bado anaendelea kudisturb.
Mwisho hata kama ni kuchati, mawazo ya mtu yaheshimiwe.
 
Back
Top Bottom